ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
HANA hoja na kwa Polepole nako kauUnajidhalilisha kiongozi..!!!
Utoto huu sasa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HANA hoja na kwa Polepole nako kauUnajidhalilisha kiongozi..!!!
Utoto huu sasa...
Tungo za kwenye vigodoro hazitokusaidia.Walitaka kumuua kwa sababu aliwapa aliwaaminisha yale makinikia anao uwezo wa kuyatoa bandarini,.
Wakampa pesa na akachemka.[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa na uzoefu na vigodoro lazima ndo Dj wewe maana ndo fani ya wengi nyumba ya jirani[emoji3][emoji3][emoji3]Tungo za kwenye vigodoro hazitokusaidia.
Ndio maana nikakwambia hazitokusaidia. Huku kwatakiwa hoja. Pole sana.Utakuwa na uzoefu na vigodoro lazima ndo Dj wewe maana ndo fani ya wengi nyumba ya jirani[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja za kipumbavu zinajibiwa kipumbavu tuNdio maana nakwambia hazitokusaidia. Huku kwatakiwa hoja. Pole sana.
Aliwapigania wachimbaji wadogo waliofukiwa kwenye migodi kwa kutumia grada miaka ileeeNdugu wana bodi! Habari zenu!
Nikiwa kijana mdogo ,mwaka 1995 ,baba wa Taifa mwalimu Nyerere ,wakati akitueleza umuhimu wa uchaguzi na kuchagua viongozi bora wa taifa hili,alituasa kuwa ,tuchague viongozi watakao lisaidia taifa letu.
Mwalimu alisema kwamba ,miongoni mwa
siasa za kiongozi anayefaa kuwa Rais wa nchi hii,ni yule ambaye amewahi kuisaidia au kuifanyia maendeleo nchi yake ya Tanzania.
Tunapotaka kuchagua
kiongozi wa nchi hii ya Tanzania lazima tujue kuwa amewahi kuisaidia au kuifanyia nini cha maana nchi yake ya Tanzania.Mwalimu alienda mbali kwa kutoa mfano wa Rais
John F.Kennedy wa Marekani ,mwaka 1963 ,aliwaambia wamerekani ,wanataka awafanyie nini na sio wao wamfanyie nin.
Ni wakati muafaka kwa watanzania,kumuuliza ndugu Lissu ,JE amewahi kuifanyia au kuisadia nini Tanzania mpaka agombea cheo kikubwa kama urais?
Maana mimi naona kama amekuwa mtu wa kashifa tu.Je tutaongozwa kwa kashifa na kufika uchumi wa juu?Tumchague sasa DR MAGUFULI ILI ATUPELEKE
UCHUMI WA JUU.
Naomba tujenge hoja.TUACHE MATUSI :
Ardhi na mbingu zitatushangaa kwa kumchagua Lissu. Ni yeye akiwa mwanasheria wa chadema amekaa kimya wakati Khamis Kagenzi aliyekuwa mlinzi wa Dkt Slaa akitekwa, kufungiwa ndani na kupewa mateso makali katika jengo la kukodi la chadema ufipa wanalotumia kama makao makuu....Katafute historia ya migodini hasahasa bulyankulu geita, tarime etcView attachment 1533920
Mkuu umeadimika bonge la uharo aiseehNdugu wana bodi! Habari zenu!
Nikiwa kijana mdogo ,mwaka 1995 ,baba wa Taifa mwalimu Nyerere ,wakati akitueleza umuhimu wa uchaguzi na kuchagua viongozi bora wa taifa hili,alituasa kuwa ,tuchague viongozi watakao lisaidia taifa letu.
Mwalimu alisema kwamba ,miongoni mwa
siasa za kiongozi anayefaa kuwa Rais wa nchi hii,ni yule ambaye amewahi kuisaidia au kuifanyia maendeleo nchi yake ya Tanzania.
Tunapotaka kuchagua
kiongozi wa nchi hii ya Tanzania lazima tujue kuwa amewahi kuisaidia au kuifanyia nini cha maana nchi yake ya Tanzania.Mwalimu alienda mbali kwa kutoa mfano wa Rais
John F.Kennedy wa Marekani ,mwaka 1963 ,aliwaambia wamerekani ,wanataka awafanyie nini na sio wao wamfanyie nin.
Ni wakati muafaka kwa watanzania,kumuuliza ndugu Lissu ,JE amewahi kuifanyia au kuisadia nini Tanzania mpaka agombea cheo kikubwa kama urais?
Maana mimi naona kama amekuwa mtu wa kashifa tu.Je tutaongozwa kwa kashifa na kufika uchumi wa juu?Tumchague sasa DR MAGUFULI ILI ATUPELEKE
UCHUMI WA JUU.
Naomba tujenge hoja.TUACHE MATUSI :
Du! ndio umejenga hoja hivyo?Ndugu wana bodi! Habari zenu!

mpe jibu la swali lake ni mpiga kura huyo huwenda mkapata kura yake,lakini kwakua nyinyini mazwazwa mnaishia kutukana halafu mnataka kushinda uchanguzi.Wakati Lissu analisaidia hili taifa bado ulikua kiunoni kwa baba ako
[emoji3][emoji3][emoji3]Huyu LUPEM kajiunga jana JF na hiyo ndiyo post yake ya kwanza. Kama Senior members mtamjibu huo utopolo wake mtampa umaarufu wa bure. Angalia details zake hapa;View attachment 1533915
Kukupa akili ya kujitambua maana umekuwa kilazaMwanamke hizi ni ndoto za mchana