Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aliwahi kuisaidia nini Tanzania? Mwenye uelewa atuelezee

Ndugu wana bodi! Habari zenu!

Nikiwa kijana mdogo ,mwaka 1995 ,baba wa Taifa mwalimu Nyerere ,wakati akitueleza umuhimu wa uchaguzi na kuchagua viongozi bora wa taifa hili,alituasa kuwa ,tuchague viongozi watakao lisaidia taifa letu.

Mwalimu alisema kwamba ,miongoni mwa
siasa za kiongozi anayefaa kuwa Rais wa nchi hii,ni yule ambaye amewahi kuisaidia au kuifanyia maendeleo nchi yake ya Tanzania.

Tunapotaka kuchagua
kiongozi wa nchi hii ya Tanzania lazima tujue kuwa amewahi kuisaidia au kuifanyia nini cha maana nchi yake ya Tanzania.Mwalimu alienda mbali kwa kutoa mfano wa Rais

John F.Kennedy wa Marekani ,mwaka 1963 ,aliwaambia wamerekani ,wanataka awafanyie nini na sio wao wamfanyie nin.

Ni wakati muafaka kwa watanzania,kumuuliza ndugu Lissu ,JE amewahi kuifanyia au kuisadia nini Tanzania mpaka agombea cheo kikubwa kama urais?
Maana mimi naona kama amekuwa mtu wa kashifa tu.Je tutaongozwa kwa kashifa na kufika uchumi wa juu?Tumchague sasa DR MAGUFULI ILI ATUPELEKE
UCHUMI WA JUU.

Naomba tujenge hoja.TUACHE MATUSI :
Hawawezi wakakupa jibu hao. Sanasana watakutupia matusi.

Ila ujumbe umewafikia.
 
Hata hapo kwenu Jamhuri ya watu wa chato penye uwekezaji mkubwa na uchumi wa kati unaoonekana ni juhudi za Tundu Lissu maana yy ndiye anakusanya kodi za nchi......

Unataka akufanye nini?
 
Ndugu wana bodi! Habari zenu!

Nikiwa kijana mdogo ,mwaka 1995 ,baba wa Taifa mwalimu Nyerere ,wakati akitueleza umuhimu wa uchaguzi na kuchagua viongozi bora wa taifa hili,alituasa kuwa ,tuchague viongozi watakao lisaidia taifa letu.

Mwalimu alisema kwamba ,miongoni mwa
siasa za kiongozi anayefaa kuwa Rais wa nchi hii,ni yule ambaye amewahi kuisaidia au kuifanyia maendeleo nchi yake ya Tanzania.

Tunapotaka kuchagua
kiongozi wa nchi hii ya Tanzania lazima tujue kuwa amewahi kuisaidia au kuifanyia nini cha maana nchi yake ya Tanzania.Mwalimu alienda mbali kwa kutoa mfano wa Rais

John F.Kennedy wa Marekani ,mwaka 1963 ,aliwaambia wamerekani ,wanataka awafanyie nini na sio wao wamfanyie nin.

Ni wakati muafaka kwa watanzania,kumuuliza ndugu Lissu ,JE amewahi kuifanyia au kuisadia nini Tanzania mpaka agombea cheo kikubwa kama urais?
Maana mimi naona kama amekuwa mtu wa kashifa tu.Je tutaongozwa kwa kashifa na kufika uchumi wa juu?Tumchague sasa DR MAGUFULI ILI ATUPELEKE
UCHUMI WA JUU.

Naomba tujenge hoja.TUACHE MATUSI :

Mwambieni Magufuli akubali mdahalo tujue ukweli badala ya umbea umbea wa watu.
 
Majibu ya humu mtoa mada karibu ataomba nauli aende kijijini...

Nachekaaaaaa
JF raha sana
 
Ndugu wana bodi! Habari zenu!

Nikiwa kijana mdogo ,mwaka 1995 ,baba wa Taifa mwalimu Nyerere ,wakati akitueleza umuhimu wa uchaguzi na kuchagua viongozi bora wa taifa hili,alituasa kuwa ,tuchague viongozi watakao lisaidia taifa letu.

Mwalimu alisema kwamba ,miongoni mwa
siasa za kiongozi anayefaa kuwa Rais wa nchi hii,ni yule ambaye amewahi kuisaidia au kuifanyia maendeleo nchi yake ya Tanzania.

Tunapotaka kuchagua
kiongozi wa nchi hii ya Tanzania lazima tujue kuwa amewahi kuisaidia au kuifanyia nini cha maana nchi yake ya Tanzania.Mwalimu alienda mbali kwa kutoa mfano wa Rais

John F.Kennedy wa Marekani ,mwaka 1963 ,aliwaambia wamerekani ,wanataka awafanyie nini na sio wao wamfanyie nin.

Ni wakati muafaka kwa watanzania,kumuuliza ndugu Lissu ,JE amewahi kuifanyia au kuisadia nini Tanzania mpaka agombea cheo kikubwa kama urais?
Maana mimi naona kama amekuwa mtu wa kashifa tu.Je tutaongozwa kwa kashifa na kufika uchumi wa juu?Tumchague sasa DR MAGUFULI ILI ATUPELEKE
UCHUMI WA JUU.

Naomba tujenge hoja.TUACHE MATUSI :
Nzi wa kijani unaitwa huku umetoka nduki,shubamit wahed
 
..hili ni andiko la Tundu Lissu akiwajibu wale waliokuwa wakihoji uzalendo wake na uadilifu wake kwa Tanzania.

IN FULL SPIRIT OF PATRIOTISM

I'm what I'm and always have been. A militant and uncompromising crusader for rights, justice and truth.

I've always stood on the side of the people against the abusers of power.

Twenty years ago, in '97, I stood on the side of the Rufiji Delta communities when Mkapa and his cronies in government wanted to sell the Rufiji Delta to Reginald Nolan, the Irish investor and arms dealer of the 80s.

Where was your Magufuli if I may ask???

He's serving in the Mkapa government that wanted to give the Rufiji Delta to Nolan.

From '99 on I took up the fight against the Mkapa government and its mining policies and its human rights abuses on behalf of the foreign mining companies you now call thieves.

Who stood by the Bulyanhulu community to demand justice and truth for the massacre of the artisanal miners there in '96???

Or for the forced evictions of the artisans and peasant communities in Lusu, Nzega; Nyamongo, Tarime and Geita???

I did, Magufuli served in the government that was terrorizing the communities in those, and many other, areas.

Who's the first person to raise the clarion call that mining companies were robbing us clean???

I did. Magufuli served in the government that was helping those companies to rob us clean.

And who, between me and your Magufuli, was the faithful servant of Kikwete at the time of Tegeta Escrow and many other such robberies of our national treasury???

Where was Magufuli when our people were being killed and brutalized during Operesheni Tokomeza and Operesheni Kimbunga???

I, and a few other courageous people, stood up and took positions on the side of our people.

I don't remember Magufuli taking any position that would have harmed his ministerial position.

He kept silent when patriotism demanded he speak out.

Those of us who stood up and were counted are now being denounced as unpatriotic simply for catching the emperor with his dirty pants down.

We're now being hunted down and jailed like common criminals, while the real criminals are being feted as patriots.

We'll not be intimidated.

We'll not be silenced.

We'll take whatever blows rained on us like the men we're.
 
Ndugu wana bodi! Habari zenu!

Nikiwa kijana mdogo ,mwaka 1995 ,baba wa Taifa mwalimu Nyerere ,wakati akitueleza umuhimu wa uchaguzi na kuchagua viongozi bora wa taifa hili,alituasa kuwa ,tuchague viongozi watakao lisaidia taifa letu.

Mwalimu alisema kwamba ,miongoni mwa
siasa za kiongozi anayefaa kuwa Rais wa nchi hii,ni yule ambaye amewahi kuisaidia au kuifanyia maendeleo nchi yake ya Tanzania.

Tunapotaka kuchagua
kiongozi wa nchi hii ya Tanzania lazima tujue kuwa amewahi kuisaidia au kuifanyia nini cha maana nchi yake ya Tanzania.Mwalimu alienda mbali kwa kutoa mfano wa Rais

John F.Kennedy wa Marekani ,mwaka 1963 ,aliwaambia wamerekani ,wanataka awafanyie nini na sio wao wamfanyie nin.

Ni wakati muafaka kwa watanzania,kumuuliza ndugu Lissu ,JE amewahi kuifanyia au kuisadia nini Tanzania mpaka agombea cheo kikubwa kama urais?
Maana mimi naona kama amekuwa mtu wa kashifa tu.Je tutaongozwa kwa kashifa na kufika uchumi wa juu?Tumchague sasa DR MAGUFULI ILI ATUPELEKE
UCHUMI WA JUU.

Naomba tujenge hoja.TUACHE MATUSI :
Atatupelekaje juu wakati kwenye kipindi cha uongozi wake ukuaji wa uchumi ndi umeanguka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I
Ndugu wana bodi! Habari zenu!

Nikiwa kijana mdogo ,mwaka 1995 ,baba wa Taifa mwalimu Nyerere ,wakati akitueleza umuhimu wa uchaguzi na kuchagua viongozi bora wa taifa hili,alituasa kuwa ,tuchague viongozi watakao lisaidia taifa letu.

Mwalimu alisema kwamba ,miongoni mwa
siasa za kiongozi anayefaa kuwa Rais wa nchi hii,ni yule ambaye amewahi kuisaidia au kuifanyia maendeleo nchi yake ya Tanzania.

Tunapotaka kuchagua
kiongozi wa nchi hii ya Tanzania lazima tujue kuwa amewahi kuisaidia au kuifanyia nini cha maana nchi yake ya Tanzania.Mwalimu alienda mbali kwa kutoa mfano wa Rais

John F.Kennedy wa Marekani ,mwaka 1963 ,aliwaambia wamerekani ,wanataka awafanyie nini na sio wao wamfanyie nin.

Ni wakati muafaka kwa watanzania,kumuuliza ndugu Lissu ,JE amewahi kuifanyia au kuisadia nini Tanzania mpaka agombea cheo kikubwa kama urais?
Maana mimi naona kama amekuwa mtu wa kashifa tu.Je tutaongozwa kwa kashifa na kufika uchumi wa juu?Tumchague sasa DR MAGUFULI ILI ATUPELEKE
UCHUMI WA JUU.

Naomba tujenge hoja.TUACHE MATUSI :

Kwani Magufuli aliwahi kuisaidia nini Tanzania kabla ya kuwa Rais? Zaidi ya kliingizia Taifa hasara kubwa kutokana maamuzi yake ya kijinga na kibabe.

Huwezi kumlingajisha Tundu Lissu na Magufuli. Mmoja alikuwa mtetezi wa wanyonge, wanaoonewa na kunyimwa haki zao. Mwingine alikuwa mropokaji, mpenda sifa aliyekuwa bingwa wa kuliingizia Taifa hasara kutokana na fidia za maamuzi yake ya kishamba.
 
Huyu LUPEM kajiunga jana JF na hiyo ndiyo post yake ya kwanza. Kama Senior members mtamjibu huo utopolo wake mtampa umaarufu wa bure. Angalia details zake hapa;View attachment 1533915
Upoloto ni like kilichojaza fuvu lako! Lupem ameuliza swali murua kwa mtu yeyote mwenye utimamu wa akili! Pamoja na Kuwa ww mzoefu humu lakini upeo wako upo chini mpaka hata ni aibu kujiita mxoefu wa jf!
 
CCM wakienda kuomba omba misaada kwa wazungu huwaita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
Hujatibu minyoo ya kwenye ubongo wako tu😂🤣😂! Siyo kwa sababu umenikopesha ndio kiwe kigezo Cha kujiingiza kwenye Mambo yangu na familia yangu I see tutakosana😂🤣😂!
Lazima uelewe 'contexity'!
 
Ndugu wana bodi! Habari zenu!

Nikiwa kijana mdogo ,mwaka 1995 ,baba wa Taifa mwalimu Nyerere ,wakati akitueleza umuhimu wa uchaguzi na kuchagua viongozi bora wa taifa hili,alituasa kuwa ,tuchague viongozi watakao lisaidia taifa letu.

Mwalimu alisema kwamba ,miongoni mwa
siasa za kiongozi anayefaa kuwa Rais wa nchi hii,ni yule ambaye amewahi kuisaidia au kuifanyia maendeleo nchi yake ya Tanzania.

Tunapotaka kuchagua
kiongozi wa nchi hii ya Tanzania lazima tujue kuwa amewahi kuisaidia au kuifanyia nini cha maana nchi yake ya Tanzania.Mwalimu alienda mbali kwa kutoa mfano wa Rais

John F.Kennedy wa Marekani ,mwaka 1963 ,aliwaambia wamerekani ,wanataka awafanyie nini na sio wao wamfanyie nin.

Ni wakati muafaka kwa watanzania,kumuuliza ndugu Lissu ,JE amewahi kuifanyia au kuisadia nini Tanzania mpaka agombea cheo kikubwa kama urais?
Maana mimi naona kama amekuwa mtu wa kashifa tu.Je tutaongozwa kwa kashifa na kufika uchumi wa juu?Tumchague sasa DR MAGUFULI ILI ATUPELEKE
UCHUMI WA JUU.

Naomba tujenge hoja.TUACHE MATUSI :
We jamaa no poyoyo
 
Mapimbi wa lumumba mnachekesha sana.Hivi bado mnalipwa buku saba ,naona idadi yenu inazidi kupungua wengine wamepotea kabisa waimba mapambio ya kijani hawaoknekani siku hizi Luciferoriginal, isis ,sisis, Kawe alumni naye kasepa CCM walipeni wanapungua humu.
 
BIA YETU?
 
Back
Top Bottom