Ugonjwa kitu kibaya sana, hapa tunamwongelea Lisu.
Hilo la kuzomewa umesahau Magufuli alivyozomewa Mbeya wakati wa kampeni?
Ugonjwa kitu kibaya sana, hapa tunamwongelea Lisu.
Hilo la kuzomewa umesahau Magufuli alivyozomewa Mbeya wakati wa kampeni?
Kweli kabisaUsijikologe Mkuu eti ubunge umpe CCM??
Utasababisha kuwana weak Gvt, itakuwa ngumu kupitisha maamuzi bungeni!!
Sio kuvunja sheria na katiba!!
Mpeni 5 tena msagie meno
Hakuna kitu kama hicho, watu wamechoka sana, uchumi mbovu haijawahi kutokea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bado tu huamini amini kwamba mamilioni wanamtaka magufuli, wacha nkuibie siri kuna wananchama 6 watahamia ccm sku sio nyingi, achana na wale waliowakimbia kuna wengine around 5 or 6 watahamia ccm sku sio nyingi
Uzuri sili ugali, sinywi pombe wala sivuti sigara, tatizo unaendeshwa na mihemko.Waambie hao Lumumba wakufundishe kuandika. Sahani ya ugali na bia mbili na paketi ya sigara zisikufanye ukapotezewa muda wako
Uzuri sili ugali, sinywi pombe wala sivuti sigara, tatizo unaendeshwa na mihemko.
Bendera fuata upepo sio!Pamoja Na Kwamba Kaja Kwa Kuchelewa Ni Kweli Hoja Yake Inatisha Inayomfanya Mtu Kuubadili Msimamo Wake. Lakini Tusitoe Hitimisho Sababu Hata Mahakamani Hutoi Hukumu Bila Kuusikiliza Upande Wa Pili Na Mara Nyingi Hutuba Kama Hizi Hujibiwa Na Mlengwa Hivyo Tusubiri Majibu Ya Magu Atasemaje Ukizingatia Wengi Wetu Watanzania Hatuchelewi Kugeuzwa Na Upepo