Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amebadili upepo wa siasa. Watanzania tumuunge mkono

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amebadili upepo wa siasa. Watanzania tumuunge mkono

Ugonjwa kitu kibaya sana, hapa tunamwongelea Lisu.
Hilo la kuzomewa umesahau Magufuli alivyozomewa Mbeya wakati wa kampeni?

sasa kipindi kile si alikua bado hajaonyesha uwezo wake! sasahv hakuna sehem hwana ham na magufuli,
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bado tu huamini amini kwamba mamilioni wanamtaka magufuli, wacha nkuibie siri kuna wananchama 6 watahamia ccm sku sio nyingi, achana na wale waliowakimbia kuna wengine around 5 or 6 watahamia ccm sku sio nyingi
Hakuna kitu kama hicho, watu wamechoka sana, uchumi mbovu haijawahi kutokea
 
Ni kama ukiitaka pure gold ni lazima ipitishwe kwenye joto kali sana ili kutoa makapi makapi ya chuma na madini mwengine. Lissu amelipitia hilo na sasa amethibitika kuwa yeye ni pure mwanasiasa
Sahihi 100%
 
Actually, Membe hawezi kuvuta hisia za watu kama Lissu. Kwenda na Membe itakuwa ni kosa la kiufundi pia .... ingawa anaonekana kuwa yuko very genuine and determined.
Ana mvuto mdogo sana kisiasa
 
Waambie hao Lumumba wakufundishe kuandika. Sahani ya ugali na bia mbili na paketi ya sigara zisikufanye ukapotezewa muda wako
Uzuri sili ugali, sinywi pombe wala sivuti sigara, tatizo unaendeshwa na mihemko.
 
Pamoja Na Kwamba Kaja Kwa Kuchelewa Ni Kweli Hoja Yake Inatisha Inayomfanya Mtu Kuubadili Msimamo Wake. Lakini Tusitoe Hitimisho Sababu Hata Mahakamani Hutoi Hukumu Bila Kuusikiliza Upande Wa Pili Na Mara Nyingi Hutuba Kama Hizi Hujibiwa Na Mlengwa Hivyo Tusubiri Majibu Ya Magu Atasemaje Ukizingatia Wengi Wetu Watanzania Hatuchelewi Kugeuzwa Na Upepo
 
Bendera fuata upepo sio!
 
Back
Top Bottom