Tetesi: Tundu Lissu amefanya kazi kubwa huko Ulaya, Mdee na wenzake wakalia kuti kavu Chadema kupeleka orodha mpya NEC ili tuendelee kufaidika!

Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.

Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.

Mengine yatawajia.

Hii ni pati gazeti.

Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
Ikiwa hivyo kutakuwa na uwafadhali, tunaweza tukapata wawakilishi watakaoitendea vema hizo nafasi. Sio hao covid-19 wanao ogopa kuwakasirisha ccm na chadema. Wapo kimyaaa wanavuta mpunga
 
Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.

Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.

Mengine yatawajia.

Hii ni pati gazeti.

Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
Unamanisha Huko Brussels Mama kamtafuta Mwamba??
 
Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.

Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.

Mengine yatawajia.

Hii ni pati gazeti.

Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
Ahaaaa
 
Tunataka kuona mabadiliko kuelekea kwenye uchaguzi wa 2025 kwa hii tume ya ccm kuondoka na kuwekwa tume huru itakayoridhiwa na wadau wote bila ya hilo kutokea basi Chadema wajitoe kwenye uchaguzi ili ccm washiriki na vyama vyao pandikizi.

Pia sheria zile za kipumbavu za kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani zifutwe mara moja.

Tume huru ya uchaguzi iajiri watendaji wake baada ya "intensive and extensive vetting" na kwa ajira ya mkataba na wasiwe kabisa watumishi wa serikali.

Watu wa Tiss wadhibitiwe wasiisogelee hiyo tume maanake wenyewe ni taasisi inayotumiwa na ccm kuendelea kung'ang'ania madarakani.
Ndugu yangu,
Hata TAMISEMI kuandaa na kusimamia uchaguzi wa Serikali za mitaa,vijiji, vitongoji ndio utoto mkubwa zaidi duniani. Katiba mbofumbofu tuliyonayo ndio inayotufanya tuwe TAIFA lenye demokrasia kichekesho kikubwa zaidi hivi.
Kwa mujibu wa hukumu ya ajabu iliyowahi kutolewa Mahakama ya Rufaa na 'MAJAJI' wasio na soni kabisa: "......eti shetani AKIAPISHWA aweza kuwa malaika ......" na ili kuimarisha ushetani huu, mmoja wao sasa hivi ndio kawa Mwenyekiti wa TUME YA UCHAGUZI.
Ili kuweza kuwa na demokrasia ya haki na kweli, Katiba mpya/bora ndio dawa na tiba ya kweli inayotakiwa kuisafisha na kuiokoa NCHI hii.
CCM na mawakala wao wanatakiwa kuacha UBATILI kwa kuwaachia Wananchi wawe ndio wapiga kura na wawe ndio wanaochagua wanaotaka.
AMEN
 
Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.

Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.

Mengine yatawajia.

Hii ni pati gazeti.

Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
Kazi kubwa gani John the Baptist,ya kuhamasisha ushoga!!!Acheni kusifia uovu jamani.And then,Ulaya kunakuhusu nini wewe,nilidhani kafanya kazi kubwa Tanzania,au angalau Africa,Ulaya!!!!!!!
 
Acha zarau Mathantula
 
Kazi kubwa gani John the Baptist,ya kuhamasisha ushoga!!!Acheni kusifia uovu jamani.And then,Ulaya kunakuhusu nini wewe,nilidhani kafanya kazi kubwa Tanzania,au angalau Africa,Ulaya!!!!!!!
Bwashee usipende kuutaja ushoga.

Ushoga ni kinyaa ukiona mtu anautajataja ujue kauzoea huyo!
 
Hii Tabia ya mtu kuamka na kukimbilia vyupa vya pombe ni tatizo
Hujui wanywa pombe ndio wachangiaji wakubwa wa kodi inayokusanywa na GoT!!!???
Tuheshimiwe,tutambuliwe,tusajiliwe na tuwe na muwakilishi wetu mahususi huko "bongeni mazuzuni".
 
Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.

Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.

Mengine yatawajia.

Hii ni pati gazeti.

Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
Mkuu kapate hata supu uondoe utando katika ubongo wako
 
Utaelewa baadae.

Tatizo mmejikita kwenye siasa za matopeni mnasahau kuwa Wanaoendesha dunia wako huko aliko Tundu Lisu.

Kama unabisha waulize DRC.
Nimekuelewa vizuri kinyonga johnthebaptist .
TL hakuwa Ubelgiji kijinga,na kwa waliozaliwa na kukulia kwenye intelijensia,wanajua Brussels ni jiji la nini.
Kongole kwa TL.
 
Hahahaaaa...... Wewe ulikuwa Tukuyu enzi hizo!

Ni Mrangi tu hapo Ufipa anayeelewa.
nyambafu we unajua kitu ilikuwa inaitwa Langata social, hall, YMCA, Mbowe Club, Pool side au ndo umekuta Club billicanas..... watu tupo kitambo usione tupo na Mbowe tunajua struggle zake since then!!!!!
 
Back
Top Bottom