Ikiwa hivyo kutakuwa na uwafadhali, tunaweza tukapata wawakilishi watakaoitendea vema hizo nafasi. Sio hao covid-19 wanao ogopa kuwakasirisha ccm na chadema. Wapo kimyaaa wanavuta mpungaInasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.
Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.
Mengine yatawajia.
Hii ni pati gazeti.
Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!