Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Lisu mbona alidanganya tutashtakiwa Miga, mbona alidanganya flani ni fisadi na akasema ccm imempa fisadi form ya kugombea uraisi baadae wakampokea mtu waliyedai fisadi kumpa form kugombea urais bila hata mchujo ndani ya chamaHeshima ya kufanya biashara popote bila kulipa kodi nayo unaona ni sawa?
Hujui kuwa hao mnaowaita machinga walikuwa wakiingia hadi zone ya biashara za wengine wanaolipa kodi.
Pia ikawa ni vurugu watu wanapanga vitu hadi barabara ya wapita kwa miguu sasa hapo ni sawa ?
Lowassa ni Fisadi ndio na kwangu atabaki kuwa fisadi haibadilishi ukweli.Lisu mbona alidanganya tutashtakiwa Miga, mbona alidanganya flani ni fisadi na akasema ccm imempa fisadi form ya kugombea uraisi baadae wakampokea mtu waliyedai fisadi kumpa form kugombea urais bila hata mchujo ndani ya chama
Muulize aliyesema sumu haionjwiLowassa ni Fisadi ndio na kwangu atabaki kuwa fisadi haibadilishi ukweli.
Pia mnaweza kutuambia ni kina nani walimpiga Lissu risasi na kwa sababu zipi?
Hahahah ukitaka uenyekiti wa Chadema unaambiwa sumu haionjwiMuulize aliyesema sumu haionjwi
Mku Biblia inasema mtu akisha kufa, hajui kitu chochote kinachoendelea hapa duniani mpaka hapo Yesu atakaporudi na kumfufua.
Soma kitabu cha Mhubiri 9:5-6
Una maswali ya kijinga sanana yesu akifa atafufuliwa na nani?
Kumbe SKG ni real eti eh!Hoja za Lissu ambazo wewe ulizielewa kwa uhalisia ni zipi?
Ebu wewe kama wewe tuwekee hapa,kama ulizielewa!
Lissu hakutoa hoja zaidi ya kulia kilio tunacho lia wote humu!
Mfumko wa bei,sio hoja ya lLissu,ni hoja ya wananchi!
Lissu amefanya Lobbying!
Sisi kila siku tunaandika humu,halafu mnaishia kutuambia ni Sukuma Gang tuna wivu na Samia!
Leo kasema Lissu,imegeuka hoja yake?
Kama ni katiba mpya...nayo siyo hoja bali ni takwa la k8sheria,ambalo majibu yake yako ngazi ya watawala.
Funguka ubongo acha uzwazwa!
Magu is dead and gone! Umsifie, umtukane haisaidii kitu. Wacha watu wamwage nyongo zaoHata mbowe hilo analijuwa kwenda mwanza akaanza mponda jpm watu walianza ondoka mdogo mdogo, akapata taarifa akaanza kusifia alichotumwa akajisahau akasifia akapitiliza. Watu wakajiuliza alikuja kufanya nini?
Tangu nilipo jua upuuzi wao kula sahani moja na mijizi ya nchi hii sinaga hamu nao.
Nyie endeleeni kupiga kelele wale ni wachumia tumbo.
Hebu lete picha ya hiyo mikutanoUtakuwa ulikuwa guest unaliwa...wakati mikutano ya Chadema inaendelea Kanda ya ziwa
Hawezi kuthubutu sasa hiviUsikariri hotuba kama sala ya baba yetu, lisu siyo mjinga penye ukweli atapasema tu kama inamhusu magufuli hata kama atabaki na watoto wa chekechea kwenye mkutano wake
Una uhakika na ulichokisema?Kawaida TAL hajadili watu wala wafu. Yeye hujadili issues.
Matrix, naomba unielimishe.... naHao wananchi wa chini ndio Magufuli aliwadanganya kile kitambulisho cha Tsh 20000/- unaweza kuombea mkopo .
Kitambulisho kisichokuwa na jina , picha wala taarifa zingine muhimu ndio wanadanganywa mchana kweupe nao wanaitikia ndio na jinsii hii hao wanyonge tafsiri yake halisi ni kundi la wajinga.
Ni Lissu ndio alikuja kuwaelemisha hawa wajinga na kuwaelezea uhalisia kuwa wanadanganywa.
Matokeo yake ni kuwa Magufuli alikuwa akifanya kampeni siku chache anapumzika siku nyingi huku Lissu akifungiwa kwamba katoa maneno ya kashfa.
Hawezi kukueleweshaMatrix, naomba unielimishe.... na
"Kile kitambulisho" ??
Kwa sababu kuna 'kile' ambacho sikioni hapa, sijui ni kashfa au ni shutuma au kitambulisho?
Shoger la ufipa kwenye ubora wakeUletewe picha wewe kama nani? Kinyeo kikikuwasha lazima ujadili mambo yasiyokuhusu bwege wewe
Lisu anahoja gani zinazogusa maishaa ya watu.Hadi Sasa hoja za Lissu hazijajibiwa watu wanakwepakwepa tu
Hana hoja yoyote zaidi ya umbeya tuLisu anahoja gani zinazogusa maishaa ya watu.
Kilibandikwa jina la kitambulisho cha machinga.Matrix, naomba unielimishe.... na
"Kile kitambulisho" ??
Kwa sababu kuna 'kile' ambacho sikioni hapa, sijui ni kashfa au ni shutuma au kitambulisho?
Ndiyo uhuru wa habari wenyeweHivi JF MODS mna matatizo gani ? Ndani ya huu uzi kuna wachangiaji wanatukanana matusi mnawaacha tuu ???? Guys ban them immediately and permanently !!!