Hoja za Lissu ambazo wewe ulizielewa kwa uhalisia ni zipi?
Ebu wewe kama wewe tuwekee hapa,kama ulizielewa!
Lissu hakutoa hoja zaidi ya kulia kilio tunacho lia wote humu!
Mfumko wa bei,sio hoja ya lLissu,ni hoja ya wananchi!
Lissu amefanya Lobbying!
Sisi kila siku tunaandika humu,halafu mnaishia kutuambia ni Sukuma Gang tuna wivu na Samia!
Leo kasema Lissu,imegeuka hoja yake?
Kama ni katiba mpya...nayo siyo hoja bali ni takwa la k8sheria,ambalo majibu yake yako ngazi ya watawala.
Funguka ubongo acha uzwazwa!