PostGE2025 Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama akihoji ukimya wa kesi yake

PostGE2025 Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama akihoji ukimya wa kesi yake

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Imeelezwa kuwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam akihoji ni lini hasa kesi yake ya uhaini inayomkabili itaendelea kusikilizwa, baada ya kushuhudia 'ukimya wa muda mrefu' bila kuitwa

Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa chama hicho Wakili Gaston Garubindi, ameieleza Jambo TV hivi karibuni kuwa Lissu ambaye anajitetea mwenyewe kwenye kesi hiyo alitarajia Mahakama ingekuwa imeshatoa ratiba ya mwendelezo wa kesi hiyo kwa haraka hasa baada ya ile ratiba ya awali ya usikilizwaji kukamilika, na huku ikizingatia kuwa Jamhuri iliieleza Mahakama kuwa ina vielelezo na mashahidi

Aidha, Wakili Garubindi amesema mshtakiwa ambaye kwa sasa yupo gerezani kutokana na kwamba mashtaka yanayomkabili hayana dhamana, na chama chake kwa ujumla wanatambua kuwa hivi karibuni Mahakama inaenda likizo, hata hivyo amesisitiza kuwa hicho si kigezo kinachoweza kuzuia shauri au mashauri yaliyoko Mahakamani kuendelea.

Asubiri Tume imalize kazi yake kwanza nani ni nani na nani alifanya nini, sasa hivyo nchi haina utulivu.
 
Serikali inafanya uonezi sana ndiyo maana mvua zinachelewa kunyesha na nchi kuwa kame! Sasa mtu kusema kukinukisha mnafunga zaidi ya miezi 8 na hajulikani lini mtamtoa?

Kuna watu walitamka watakata watu vichwa na wengine wakatamka watawapoteza watu na polisi wasiwatafute wote hao wapo uraiani wanapeta tu.
 
Imeelezwa kuwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam akihoji ni lini hasa kesi yake ya uhaini inayomkabili itaendelea kusikilizwa, baada ya kushuhudia 'ukimya wa muda mrefu' bila kuitwa

Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa chama hicho Wakili Gaston Garubindi, ameieleza Jambo TV hivi karibuni kuwa Lissu ambaye anajitetea mwenyewe kwenye kesi hiyo alitarajia Mahakama ingekuwa imeshatoa ratiba ya mwendelezo wa kesi hiyo kwa haraka hasa baada ya ile ratiba ya awali ya usikilizwaji kukamilika, na huku ikizingatia kuwa Jamhuri iliieleza Mahakama kuwa ina vielelezo na mashahidi

Aidha, Wakili Garubindi amesema mshtakiwa ambaye kwa sasa yupo gerezani kutokana na kwamba mashtaka yanayomkabili hayana dhamana, na chama chake kwa ujumla wanatambua kuwa hivi karibuni Mahakama inaenda likizo, hata hivyo amesisitiza kuwa hicho si kigezo kinachoweza kuzuia shauri au mashauri yaliyoko Mahakamani kuendelea.

Huu mziki bado sana , mwachieni lissu asema Bwana , sio ombi ni Amri iliyo kuu, mwachieni asema Bwana , mtakufa vibudu na kumuacha akidunda, tafuteni history ya Mwagama , siku zote mganga hufa
 
Screenshot_20251129-214516~2.png
 
Hii ya Lissu imewakalia pabaya sana,hawana namna
 
Kama amegoma kutubu na kumwomba msamaha Mama sijui kama ataachiwa Leo! Na huenda anatengenezewa mashitaka mengine!
 
1. Tunaendelea kusisitiza kuwa Tundu Lissu hakuwa na kesi yoyote. Hii ilikuwa njia na mbinu ya hovyo na ya kishenzi kabisa ya kisiasa ya kumweka mtu huyu gerezani kwa mashitaka ya uongo wa kufikirika ili tu asimsumbue Bi Kizimkazi kupita kuwa Rais wa damu bila kupingwa ile MO29.....

2. Pamoja na hayo, CHADEMA na Tundu Lissu walikubali kupambana kisheria huko huko mahakamani. Tumeshuhudia wote kuwa msingi wote wa mashitaka ya kesi hii, mwamba aliubomoa very professionally na majaji kukubaliana naye. ALISHASHINDA KESI....

3. All the way ni kuwa, huyu mwanamke (Samia) kafanya hicho kinachoitwa uchaguzi, kajitangaza mshindi na kajiundia kijiserikali chake. Kinachosumbua ni kuwa, matokeo ya uchafu ule ulioitwa uchaguzi yamea - ignite tatizo jingine kubwa zaidi. Haikuleta matokeo waliyotarajia. Laiti mambo yangeenda kama walivyotarajia, nawaambia wazi kuwa Tundu Lissu angeshatoka gerezani kwa wao wenyewe kutupa taulo - yaani kutoendelea na kesi...!!

4. But things didn't go as it was planned. Na kwenye hili they know exactly kuwa, kesi yao haina miguu ya kisheria ya kuendelea kusimama tena huko mahakamani. Shida inayowasumbua ni kuwa "watoke vipi" maana huyu jamaa (Tundu Lissu) kwa hali tete ya kisiasa iliyopo sasa hapa nchini na kwa jinsi alivyo na ushawishi mkubwa kwa jamii na hususani vijana, akitoka na kuanza kuzungumza kupitia majukwaa mbalimbali, obvious, hali ya hewa ya kisiasa inaweza kuwa mbaya zaidi kwa Samia na serikali yake haramu na nzuri sana kwa sisi wananchi maana goma litakuwa limepata mpigaji....

Haina shaka yoyote kuwa Samia na washenzi, hayawani wenzake huko CCM wanajuta kutumia njia hii ya kishenzi kujaribu ku - achieve malengo yao. Mungu kwa mikono na vinywa vyetu (kupitia maombi) amewadhibiti, njia zao ovu zimefungwa miguu..!!

5. Kwa hiyo wanashindwa wafanyeje kwa kuwa.

👉🏻👉🏻Kama ni kumuua kama Jenista Mhagama hawawezi kwa kuwa wakifanya hivyo hali yao itakuwa mbaya zaidi mara 1,000,000 hapa nchini na duniani kwa ujumla. Na ktk hili, si tu hawawezi bali ni kwa sababu naturally huyu jamaa ni IMMORTAL, hawezi kufa kwa mapenzi ya Samia na CCM yake...!!

👉🏻👉🏻Kumwachia huru nako wanaona aibu maana yale maapizo waliyokuwa wanaapa kuwa watamnyonga, yanawarudi. Mbaya zaidi ni uchafu huu wa mauaji ya halaiki walioutengeneza wenyewe huku nje kupitia wanachoita wenyewe "uchaguzi". Hii ni agenda mbaya sana ya kisiasa dhidi yao. Na inakwenda kuipoteza CCM na Samia wao moja kwa moja milele hatutawaona tena...!!

👉🏻👉🏻Wanamuogopa kumpa uhuru wake kwa kuwa wanajua fika kuwa huyu jamaa ni very vocal nationally and internationally kama mwanasiasa jasiri na kama mwanasheria mbobevu wa local & international laws

👉🏻👉🏻LAKINI KUBWA KULIKO YOTE PENGINE NI HILI: Kwamba, wameshashindwa kumlambisha asali ili awe loose, awe anauma na kupuliza kama alivyokuwa Freeman Mbowe. Kwa kifupi, hapo Samia amekikwaa kisiki cha mpingo. Yaani akisima nchale, akiinama nchale, akikaa nchale na hata akijitikisa tu nchale. Atafanyeje sasa? Mpaka afe yeye, amwache mwamba!!

Lakini it's just a matter of time, kuwa, TUNDU LISSU atakuwa huru na atakuwa kiongozi mkubwa mkubwa sana ktk taifa hili zuri la Tanganyika, mimi The Palm Beach kinywa cha Mungu aliye juu mbinguni, Mungu mkuu, mfalme wa wafalme katika Yesu Kristo nimesema na itakuwa hivyo. Amina🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Samia hajui afanye nini kuhusu Tundu Lissu.

Ametafuta kila njia ya kumtumia Lissu ili ajisafishe imeshindikana.
Kwa sababu Tundu Lissu siyo mtu wa kutumiwa na yeyote, kwa bei yoyote!

Wazo la kumwachia huru Tundu Lissu linamtia homa kali sana, kwa kujuwa hiyo ni njia ya haraka ya kumwondoa kwenye ung'ang'anizi wa madaraka.

But it's inevitable, Tundu Lissu eventually will be free as will be the case for Tanzania.
 
Back
Top Bottom