Sijawahi kuona pause of a trial isiyokuwa na maelezo. Hizi kangaroo courts zetu ni shida kubwa kwa raia!Imeelezwa kuwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam akihoji ni lini hasa kesi yake ya uhaini inayomkabili itaendelea kusikilizwa, baada ya kushuhudia 'ukimya wa muda mrefu' bila kuitwa
Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa chama hicho Wakili Gaston Garubindi, ameieleza Jambo TV hivi karibuni kuwa Lissu ambaye anajitetea mwenyewe kwenye kesi hiyo alitarajia Mahakama ingekuwa imeshatoa ratiba ya mwendelezo wa kesi hiyo kwa haraka hasa baada ya ile ratiba ya awali ya usikilizwaji kukamilika, na huku ikizingatia kuwa Jamhuri iliieleza Mahakama kuwa ina vielelezo na mashahidi
Aidha, Wakili Garubindi amesema mshtakiwa ambaye kwa sasa yupo gerezani kutokana na kwamba mashtaka yanayomkabili hayana dhamana, na chama chake kwa ujumla wanatambua kuwa hivi karibuni Mahakama inaenda likizo, hata hivyo amesisitiza kuwa hicho si kigezo kinachoweza kuzuia shauri au mashauri yaliyoko Mahakamani kuendelea.
Yaani Lisu atubu,wapi?Kama amegoma kutubu na kumwomba msamaha Mama sijui kama ataachiwa Leo! Na huenda anatengenezewa mashitaka mengine!
Huyu Mwamba bado anapachimba tu.Imeelezwa kuwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam akihoji ni lini hasa kesi yake ya uhaini inayomkabili itaendelea kusikilizwa, baada ya kushuhudia 'ukimya wa muda mrefu' bila kuitwa
Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa chama hicho Wakili Gaston Garubindi, ameieleza Jambo TV hivi karibuni kuwa Lissu ambaye anajitetea mwenyewe kwenye kesi hiyo alitarajia Mahakama ingekuwa imeshatoa ratiba ya mwendelezo wa kesi hiyo kwa haraka hasa baada ya ile ratiba ya awali ya usikilizwaji kukamilika, na huku ikizingatia kuwa Jamhuri iliieleza Mahakama kuwa ina vielelezo na mashahidi
Aidha, Wakili Garubindi amesema mshtakiwa ambaye kwa sasa yupo gerezani kutokana na kwamba mashtaka yanayomkabili hayana dhamana, na chama chake kwa ujumla wanatambua kuwa hivi karibuni Mahakama inaenda likizo, hata hivyo amesisitiza kuwa hicho si kigezo kinachoweza kuzuia shauri au mashauri yaliyoko Mahakamani kuendelea.
Kinachomuokoa Tundu Lissu ni Cleanliness yake, yaani inabidi uwe mtu wa hatari sana kumdhuru mtu Msafi kama LissuYaani Lisu atubu,wapi?
Aombe msamaha kwa Mama,amekosa nini?
Sisi Watanzania ni wadhaifu sana kwenye sheria,kesi inaendelea mahakamani,watu tunatoka huko nyuma tunashauri Lisu aombe msamaha kwa mama,kesi iliyopo mahakamani nani ataimaliza? Usiseme mama
Watapukutika sana Lissu watamuachaHuu mziki bado sana , mwachieni lissu asema Bwana , sio ombi ni Amri iliyo kuu, mwachieni asema Bwana , mtakufa vibudu na kumuacha akidunda, tafuteni history ya Mwagama , siku zote mganga hufa
Yaani upuuzi mtupuHivi ndio miongoni mwa sabb zinapelekea samuya kuchukiwa, figisu za kitoto kbs!.
Kwani Majaji wansosimamia kesi ya Lisu nao wamo kwenye ile tume?Asubiri Tume imalize kazi yake kwanza nani ni nani na nani alifanya nini, sasa hivyo nchi haina utulivu.