PostGE2025 Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama akihoji ukimya wa kesi yake

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Si
Sijawahi kuona pause of a trial isiyokuwa na maelezo. Hizi kangaroo courts zetu ni shida kubwa kwa raia!
 
Kama amegoma kutubu na kumwomba msamaha Mama sijui kama ataachiwa Leo! Na huenda anatengenezewa mashitaka mengine!
Yaani Lisu atubu,wapi?
Aombe msamaha kwa Mama,amekosa nini?
Sisi Watanzania ni wadhaifu sana kwenye sheria,kesi inaendelea mahakamani,watu tunatoka huko nyuma tunashauri Lisu aombe msamaha kwa mama,kesi iliyopo mahakamani nani ataimaliza? Usiseme mama
 
Huyu Mwamba bado anapachimba tu.

Hahaha
 
Kinachomuokoa Tundu Lissu ni Cleanliness yake, yaani inabidi uwe mtu wa hatari sana kumdhuru mtu Msafi kama Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…