Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amekutana na Waandishi wa habari kuelezea mwenendo wa kampeni. Asema Jaribio la kuvuruga Uchaguzi litasababisha watu wapelekwe 'The Hague'

Kauli ya mdomoni si utekelezaji. Unaweza kutamka neno lakini lisifanyiwe kazi. Tayari figusu imeshaanza kuwaapisha wakala je huo ndo uchaguzi huru na haki?
Magufuli akiahidi, anatekeleza, uchaguzi utakuwa huru na wa haki, dosari ndogo ndogo, haziepukiki
P
 
Magufuli akiahidi, anatekeleza, uchaguzi utakuwa huru na wa haki, dosari ndogo ndogo, haziepukiki
P
Kutowaapisha mawakala si tatizo dogo kama unavyofikiria hii itafanya baadhi ya vituo vya kupigia na kuhesabia kura kukosa wakilishi wa kudhibiti kura. Chochote kinaweza kutokea kwa hujuma za kura.
 
Kutowaapisha mawakala si tatizo dogo kama unavyofikiria hii itafanya baadhi ya vituo vya kupigia na kuhesabia kura kukosa wakilishi wa kudhibiti kura. Chochote kinaweza kutokea kwa hujuma za kura.
Hakuna haja ya kudhibiti kura, unadhibiti nini?, kazi ya mawakala, ni kuhakiki kura na sio kuthibiti!. Be positive, uchaguzi huu utakuwa huru na wa haki.
P
 
Hakuna haja ya kudhibiti kura, unadhibiti nini?, kazi ya mawakala, ni kuhakiki kura na sio kuthibiti!. Be positive, uchaguzi huu utakuwa huru na wa haki.
P
Kama hakuna mawakala wa kuhakiki katika kituo huoni ndo mwanzo wa hujuma za kura?
 
Mkuu Dada yangu mrembo beth , Uchaguzi unaendeshwa na Tume yetu huru ya Uchaguzi, NEC, Rais wa JMT ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, ametoa hakikisho la uchaguzi utakuwa huru na wa haki, haya mambo ya kutishiana 'The Hague' ya nini?, haya sio mambo!..
Uko sawa The Hague is for crime against humanity yaani uhalifu wa kivita.Mambo ya uchaguzi ni internal affairs hawana haki ya kuingilia
 
Nilikuwa natabiri Jiwe atafungwa Gereza la Ukonga kumbe kuna uwezekano akagungwa gereza la huko ng'ambo kwa mwendo huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…