Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Magufuli akiahidi, anatekeleza, uchaguzi utakuwa huru na wa haki, dosari ndogo ndogo, haziepukikiKauli ya mdomoni si utekelezaji. Unaweza kutamka neno lakini lisifanyiwe kazi. Tayari figusu imeshaanza kuwaapisha wakala je huo ndo uchaguzi huru na haki?
P