WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Usizibe watu midomo kama kuna vitu vinavyoashiria udini kwenye nchi yetu iwapo vitakuwa vinaonekana kwa macho.Sera ya Waislam ni kutaka kuona tunapoteza utamaduni wetu kama Zanzibar walivyofanya ili sisi sote tuwe kama Ehiopia,Somalia,Sudan,Misri,Mali,Chad,Algeria,Moroco,Libya,Tunisia na Afrika ya Kati.Sisi Watanganyika tulio wengi tunathamini asili yetu kuliko kuthamini asili ya Mwarabu,Mchina au Mhindi.Hilo ndio swali la msingi la kujengea hoja na kuwashinikiza serikali kuchukua hatua stahiki.
nje ya hayo kuna miradi inayochelewa au kutokuanza kabisa.
BIMA za afya kwa kila mwananchi.
Hivyo ndio vitu vya kuongelea sio kusambaza chuki na udini