Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!

Haturudi nyuma!

Your browser is not able to display this video.

Ama kwa hakika kama CHADEMA kwenye uchaguzi huu wangemsimamisha mtu legelege basi cha moto wangekiona. Huyu jamaa anapambana kwelikweli!
Your browser is not able to display this video.

Na ziwani humo humo anasalimiana na wavuvi

HAPA CHINI NI VIDEO AKIPOKELEWA UKEREWE BAADA YA KUFIKA SALAMA AKITUMIA MTUMBWI
Your browser is not able to display this video.
 
Haki ya Mungu kweli uchaguzi huu umepata mtu aah 😲!, huu ni ujasiri wa namna ya pekee sana, kuna kitu/watu fulani wanajifunza na kuelewa maana ya kuponea kwenye tundu la sindano na baadaye kuwa na ujasiri kama tunauona.
 
Alikuwa anatania tu kama alivyotania mkuu wa wanawake weusi.
 
Hawajamuonea wanampa field umuhimu wa maendeleo ya vitu, ili kwenye mkutano wake akaseme vizuri.
 
Mshamba mshamba tu. Magu mshamba
 
Haki ya Mungu kweli uchaguzi huu umepata mtu aah 😲!, huu ni ujasiri wa namna ya pekee sana, kuna kitu/watu fulani wanajifunza na kuelewa maana ya kuponea kwenye tundu la sindano na baadaye kuwa na ujasiri kama tunauona.
Acheni Mzee Apumzike Mtamuua Kwa Pressure
Yupo Kawe!! Ameshalegea πŸ˜πŸ˜‚
 
Jamani, hivi si walianza kuitana huko huko CCM, sasa watu wanaiga unasema hawafai.

Umekula maharagwe ya wapi we bwege

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…