Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!

Haturudi nyuma!
Lissu.JPG

1.jpg
2.jpg
3.jpg
4.jpg
5.jpg

Ama kwa hakika kama CHADEMA kwenye uchaguzi huu wangemsimamisha mtu legelege basi cha moto wangekiona. Huyu jamaa anapambana kwelikweli!

Na ziwani humo humo anasalimiana na wavuvi
20201014_112939.jpg

HAPA CHINI NI VIDEO AKIPOKELEWA UKEREWE BAADA YA KUFIKA SALAMA AKITUMIA MTUMBWI
 
Haki ya Mungu kweli uchaguzi huu umepata mtu aah 😲!, huu ni ujasiri wa namna ya pekee sana, kuna kitu/watu fulani wanajifunza na kuelewa maana ya kuponea kwenye tundu la sindano na baadaye kuwa na ujasiri kama tunauona.
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Alikuwa anatania tu kama alivyotania mkuu wa wanawake weusi.
 
Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!

Haturudi nyuma!
Hawajamuonea wanampa field umuhimu wa maendeleo ya vitu, ili kwenye mkutano wake akaseme vizuri.
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!

Mshamba mshamba tu. Magu mshamba
 
Haki ya Mungu kweli uchaguzi huu umepata mtu aah 😲!, huu ni ujasiri wa namna ya pekee sana, kuna kitu/watu fulani wanajifunza na kuelewa maana ya kuponea kwenye tundu la sindano na baadaye kuwa na ujasiri kama tunauona.
Acheni Mzee Apumzike Mtamuua Kwa Pressure
Yupo Kawe!! Ameshalegea 😁😂
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Jamani, hivi si walianza kuitana huko huko CCM, sasa watu wanaiga unasema hawafai.

Umekula maharagwe ya wapi we bwege

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom