Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

Msimamo kuhusu corona na ushoga. Ndoano ya kwanza keshaila bado hii ya pili na mchezo utakuwa umeishia hapo
 
Hongera kwa kuwafurah
Hongera kwa kuwapa burudani wakenya
 
Maajabu hayatakwisha! Akitoka kwenye mahojiano utaona anapigana mabusu na wapambe wake, wanakumbatiana bila hata barakoa. Hata kama mkataba wako unakutaka kuhakikisha unalazimisha kuwa TZ kuna corona basi onesha kwa vitendo kuwa unajikinga na corona.
 
Umesahau kuweka namba ya simu dunstan
 
Maajabu hayatakwisha! Akitoka kwenye mahojiano utaona anapigana mabusu na wapambe wake, wanakumbatiana bila hata barakoa. Hata kama mkataba wako unakutaka kuhakikisha unalazimisha kuwa TZ kuna corona basi onesha kwa vitendo kuwa unajikinga na corona.
Huyu Lissu Tusipokuwa makini atatuchafulia nchi.
 
Anayoyafanya JPM ni sera za CCM.
 
nchi tayari ipo shimoni Magu kashatuzamisha na mekuwa vipofu hamuoni macho yenu yametiwa mchanga na moshi
 
MATAGA wamechanganyikiwa.mziki wa lissu siyo wa kitoto
Ule upuuzi una wahusu ndugu zako wote waliopo kijijini kwenu wewe una sema mataga tu.
Hapa ndio unajua nyumbu hawana akili
 
MDAHALO WA HAWA WAGOMBEA URAIS NI MUHIM SANA TUWAPIME AKILI ZAO KAMA ZIKO SAWA AU ZIMEPINDA
TUSIFANYE MAKOSA TENA
#NIYEYE2020

Udhaifu wa Lissu na Vyombo vya habari vya Kenya unazidi kujidhihirisha kila uchao....Uzushi! uzushi! Uzushi! Magufuli hakuwahi kutamka kuwa Corona haipo Tanzania. Alichokisimamia ni matumizi ya njia mbadala wa kukabiliana nayo kwanza kwa kumtanguliza Mungu, na Kuondosha hofu kwa wananchi wake, ambayo hiyo pekee hudhoofisha kinga ya mwili, na kuwataka wananchi wazingatie ushauri wa madaktari wetu katika kujikinga na maambukizi?

Kwa upande wa hiyo Radio uchwara wamekosa weledi kwa kuacha kwa maksudi kuzungumza na mamlaka ya serikali ya Tanzania kuhusu tuhuma alizobwabwaja Lissu ili wapate maoni ya upande wa pili.

Mungu azidi kutujalia uhai ili tuzidi kustaajabu zaidi.
 
Ule upuuzi una wahusu ndugu zako wote waliopo kijijini kwenu wewe una sema mataga tu.
Hapa ndio unajua nyumbu hawana akili
Ndugu zangu unawajuwa wewe ke.nge wa kijani?
 
Yaani mie huyu simuelewi kabisa, hivi wapiga kula wake wako kenya?, Watanzania wangapi wana access na hizo radio za kenya!
Huko ndio alikopata nafasi ya kuongelea hapa tz si wanamnyima airtime?hata wewe ukibanwa kwenu unaweza enda ongelea kwa jirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…