Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Acha uzembe tupe mrejesho
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa .
Endelea kutegea sikio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uzembe tupe mrejesho
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa .
Endelea kutegea sikio
Akipata awamu nyingine...si lazima 😁 😁Msiache kukubali ofa ya ajira kwa Lisu ambayo Magufuli alitoa,
Kwamba Magufuli akipata awamu nyingine basi lisu atapata kanafasi ka kumfaa kwani Urais hatoshi.
Wameishiwa pumzi.Mbona Tangazo limeandikwa 0500 asubuhi, wewe umeliweka 1203,
Hauoni kama habari kama hizi zisizo na userious zinakirudisha nyuma chama hasa wakati huu mgumu ??!.
Note: Sijakulaumu wewe, bali naona kuna tatizo kwa baadhi ya watendaji wa chama.