Benaya- JF-Expert Member Joined Jul 31, 2019 Posts 4,415 Reaction score 7,631 Oct 1, 2020 #41 Erythrocyte said: View attachment 1586223 Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa . Endelea kutegea sikio Click to expand... Acha uzembe tupe mrejesho
Erythrocyte said: View attachment 1586223 Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa . Endelea kutegea sikio Click to expand... Acha uzembe tupe mrejesho
The Invincible JF-Expert Member Joined May 6, 2006 Posts 6,006 Reaction score 3,275 Oct 1, 2020 #42 stroke said: Msiache kukubali ofa ya ajira kwa Lisu ambayo Magufuli alitoa, Kwamba Magufuli akipata awamu nyingine basi lisu atapata kanafasi ka kumfaa kwani Urais hatoshi. Click to expand... Akipata awamu nyingine...si lazima 😁 😁
stroke said: Msiache kukubali ofa ya ajira kwa Lisu ambayo Magufuli alitoa, Kwamba Magufuli akipata awamu nyingine basi lisu atapata kanafasi ka kumfaa kwani Urais hatoshi. Click to expand... Akipata awamu nyingine...si lazima 😁 😁
Da Gladiator JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 1,641 Reaction score 2,646 Oct 1, 2020 #43 Mbona Tangazo limeandikwa 0500 asubuhi, wewe umeliweka 1203, Hauoni kama habari kama hizi zisizo na userious zinakirudisha nyuma chama hasa wakati huu mgumu ??!. Note: Sijakulaumu wewe, bali naona kuna tatizo kwa baadhi ya watendaji wa chama.
Mbona Tangazo limeandikwa 0500 asubuhi, wewe umeliweka 1203, Hauoni kama habari kama hizi zisizo na userious zinakirudisha nyuma chama hasa wakati huu mgumu ??!. Note: Sijakulaumu wewe, bali naona kuna tatizo kwa baadhi ya watendaji wa chama.
G Gagnija Platinum Member Joined Apr 28, 2006 Posts 12,620 Reaction score 12,109 Oct 1, 2020 #44 Da Gladiator said: Mbona Tangazo limeandikwa 0500 asubuhi, wewe umeliweka 1203, Hauoni kama habari kama hizi zisizo na userious zinakirudisha nyuma chama hasa wakati huu mgumu ??!. Note: Sijakulaumu wewe, bali naona kuna tatizo kwa baadhi ya watendaji wa chama. Click to expand... Wameishiwa pumzi.
Da Gladiator said: Mbona Tangazo limeandikwa 0500 asubuhi, wewe umeliweka 1203, Hauoni kama habari kama hizi zisizo na userious zinakirudisha nyuma chama hasa wakati huu mgumu ??!. Note: Sijakulaumu wewe, bali naona kuna tatizo kwa baadhi ya watendaji wa chama. Click to expand... Wameishiwa pumzi.