Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amepewa uhuru uliopitiliza

Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake

Hajapewa uhuru ila ANAUTUMIA uhuru wake ilimradi hajavunja sheria. Nafikiri wewe bado una mawazo ya ki CCM na ya kitwana mpaka umsubiri Magufuli akwambie ongea ndio unaongea.
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
kamzuie
 
Uyo amewekwa kiporo tunaogopa kujichafua. Ngoja tuapishwe ndo atajua kwa nini nyoka hana miguu..

Jidanganyeni kuwa hata kura mtakwiba.

Zama tofauti hizi.

Si kabla wala baada ya uchaguzi. Hatishwi mtu!
 
Achana nao hao ngoja tarehe 28 ifike ndio watajua ccm mbele kwa mbele.
 
Lissu ni kiongozi wa kitaifa kwa sasa kumzuia ni ngumu maana umma uliopo nyuma yake hauzuiliki, licha ya kuwa kiongozi mwenye ushawishi hakuna mahali ambapo Lissu amevunja taratibu za nchi, Kama ni sera kila Chama kina za kwake na ndio kunachofanyika, Vinginevyo ni utopolo.
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Muache ainjoi dirisha likifungwa la kelele basi tunarudi kuchapa kazi siasa mpaka 2025...
 
Mwanasheria gani alisema tutashitakiwa na hatukushitakiwa kwenye sakata la madini.
 
Tatizo la wafuasi/wanachama wengi wa Ccm ni kupenda kukaririshwa! Akishasema tu mwenyekiti wao, hata kama ni pointless, basi wote wanageuka na kuwa kasuku.

Hivi kuna dhambi gani Mtanzania anayeipenda Nchi yake kutoa angalizo? Ukiulizwa leo kiasi cha fedha kilichotumika kuwalipa mabeberu kwa sababu ya ubabe wenu wa kuvunja hiyo mikataba kiholela, utakua na jibu wewe Mataga uliyekaririshwa kila kitu cha kuongea na mwenyekiti wako?

Kuanzia mkataba wa ujenzi wa barabara ya Bagamoyo, Samaki na meli ya Wafilipino, nk!!
 
Hebu tutajie tusi hata moja Lissu alilosema au weka video tupate uhakika huu ni wakati wa ukweli na uwazi mwendo wa spana.

Ndugu mtoa uzi tunasubiri video au nukuu ya matamshi yake.
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na Serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Wenye akili kubwa mbona walishapiga mahesabu siku kibao, yeye Lisu keshajimaliza mwenyewe, hakuna haja ya kukamata kwa kejeli zake. Nadhani atajifunza kitu 28/10/2020 maana watanzania anawajua zaidi yule mmama wa USA.
 
Unaweza kututajia tusi lililotamkwa na Tundu Lissu angalau tujiridhishe?

Vinginevyo, itakuwa unatapatapa kutokana na kibano kikali anachopewa Magufuli.
Mfano kusema ni makosa kujenga uwanja wa ndege wa KIMATAIFA Kijijini kwake chato, huyu bibie anaona ni tusi..

Kwamba amegoma kuongeza mishahara kwa miaka mi5, tusi..

Kuteka, kupoteza, kuua wakosoaji wake, tusi..

Kubambikizia kesi zisizo na dhamana kwa wananchi wasio na hatia, ni tusi..

Kununua wapinzani kwa fedha nyingi ya walipa kodi, tusi..
nk..

Duh!
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na Serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Keshajua hapati urais, so anafanya fujo achukuliwe hatua ili alalamike kwa mabeberu waliomtuma kua hakutendewa haki

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na Serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Hajapeww uhuru uliopitiliza bali Tundu Lissu yuko huru beyond limits. Uhuru wa Lissu sio wa kupewa. Ni wa ndani kabisa kwwnye nafai yake. Tangu Magufuli anaingia madarakani ni Tundu Peke yake alikuwa anaweza kumoinga wazi wazi bila kupindapinda.

He is a victory .
 
Back
Top Bottom