cleopatra akida
Senior Member
- Nov 15, 2017
- 160
- 94
Hamna kitu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umestaajabu mtu kujitambua? Au umekulia maeneo ya poriniKwako wewe maandishi mazuri ni kuisifia ccm? Una mawazo ya kikoloni sana ndugu jitambue maana wakati ndiyo huu
Yaani umo jamii forums tangu 2013 lakini bado huna elimu ya uraia we ulisikia wapi.Kwanza karibu sana jf
Ni sahihi kabisaTangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253
Ujinga ni pale unapo muita mfadhili wako kisa kakukosoa unavyotumia msaada anao kupatia
WaliokujazaTangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253
Waliokujaza huko KUTOKUJIAMINI ni hao mabeberu na wakoloni mamboleo kwa nia na lengo la kukufifisha kiakili, kimawazo na kiutendaji ili ubakie TEGEMEZI KWAO kama walivyomfanyia Lissu kwa muda wa miezi 36 aliyokuwa huko Ulaya akiwategemea kwa kila kitu ikiwa ni pamoja na matibabu. Anachofanya Tundu Lissu ni kuwakilisha waliyomtuma kwa nia na lendgo la kuichafua nchi hii. Kwa kiasi kidogo tumeanza kuona sumu yake ikiwaingia wajinga wachache kama ilivyotokea huko Tunduma. Hii ni sumu ambayo isipokemewa na kutafutiwa dawa na dola, itachafua uchaguzi na kumpa BICHWA Lissu na hao wajinga wachache na WASIOJIELEWA. Kama MZALENDO, napenda kuchua fursa hii kumwambia Lissu kuwa "TANZANIANS LIVES MATTER (TLM)". Kama naruhusiwa kuiga kilio cha Wamarekani wachukiao ubaguzi kwa kauli mbiu yao ya "BLACK LIVES MATTER (BLM)".Tangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253
Lissu "mfufuka"Tangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253
AMENTangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253
Atatupa Ilani yao tuitumie kuongoza nchiTangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253
Mabeberu ni kina nani??
Ni mwanga kwa walio gizani, ni macho kwa wasiyo ona, ni sauti kwa wasiyo na sauti, ni tumaini kwa walio katishwa tamaa.