Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Yaani kumbe unaweza ukamwekea Pingamizi Rais na Tume ikashinda na makaratasi yake tangu asubuhi hadi jioni usiku. Huku wanazunguka zunguka tu wasijuime cha kufanya.

Kumbr inawezekana aisee

😅😅😅😅😅anakotipeleka Lissu ni kwenye ukombozi kweli kweli.
 
Nakumbuka ule utafiti Mkuu kwamba MAZWAZWA ndiyo wanaoipenda ccm siku hizi wako mpaka maprof eti wanadai waliokotwa jalalani 😂😂😂😂
Kumbe kusoma sio Kuelimika !
CCM wamefikia kumuita jiwe yesu wao dah kuwa Uyaone kweli kwa hakika nime yaona
 
Umeonaeeee? Tuliamini kabisa kuwa rais hawezi kuwekewa pingamizi kabisa!
 
Hahaha baada ya kushindwa atampanda mbowe kichwani kutaka umwenyekiti, stay tuned mgogoro unakuja November
Gambo hakukosea kabisa alipo sema kuwa uvccm wengine wenu ni wanafiki sana na mkizeeka lazima mtakuwa ni wachawi na vigagula
 
Utagundua siku akifa nitakavyotambulishwa ,akilinzaki kama za lisu tu mwenye sura kama anachungulia tair la gar lenye pancha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi wewe mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…