Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Naomba kuuliza kwa upole kabisa! Nijibu kwa upole.
Kwa nini kila anachosema Lissu munakiona ni kipya? Ni kweli kwamba uelewa wenu ni mdogo kiasi hicho?
Nawe nijibu,, hivi ni kwanini mnamuogopa sana mh Lissu amabaye ni mteule wa Mungu ili awe rais wetu sisi watanzania?
 
Hapana! Kama hawezi kueleza maana ya density, enzi hizi za sayansi na teknolojia basi hatuhitaji mtu wa aina hiyo.
Basi jiandaeni kisaikolojia maana mh Lissu ndiye atakuwa rais wetu
 
Watawala waovu walikuwa wameshawaaminisha watanzania kuwa tanzania ni mali ya watawala, na kwamba watawaliwa hawaruhusiwi kuhoji, wala kusema chochote zaidi ya kufuata kile kitakachoamuliwa na watawala, kuhoji ikawa kosa la jinai na kila mtu akaogopa kumuongea bwana yule akihofia usalama wake!

Ilikuwa ukitamka jina la bwana yule katika public basi ni katika kusifu na kumuabudu.

Ikafika mbali hata baadhi ya wajinga na wapumbavu wakamuita "mungu" na "yesu" mbaya zaidi eti wakadai ipo siku "MUNGU" atashuka kuja kumuomba msaada mtu yule, hii kufuru kabisa kuwahi kutokea, shame upon the dictator and his failed system!

Viva Mtanzania lissu, umewaondolea madikteta ule utukufu waliodhani wanao, walijifanya miungumtu, aibu yao sasa vile tunawadharau, sio kitu wao!
Sielewi mnaongea ninyi bavichaa?

Kwamba Lisu keshamshinda Magufuli au?

Kwa akili yenu mlifiiri Magufuli atapoteza muda wake aje kujibishana na huyo msaliti?

Lisu na chadema wote nyie ni hopeless!

Lisu alifikiri akija kuna mtu atamsumbuasumbua kumkamata,

Baadae mkasema atakatwa,
Hakatwi mtu ila atakatwa na watz kwenye sanduku la kura.

Mwambieni tutamnyoa kiduku kile
 
serikali ya watu kwa ajili ya watu na serikali ya watu kwa ajili ya mtu.Nafasi pekee watz tuiyonayo ni sasa tukizubaa tu tumeliwa,hawa wakurugenzi wanaotumika hovyo kuwanyima watu haki ya kuchagua sababu ya njaa zao ni kunyooka nao mbele kwa mbele
Kwa nguvu moja tutashinda, kinachohitajika kwa sasa ni wana upinzani kuwa kitu kimoja ili kumtoa nyoka wa kijani
 
Hizo ni ndoto chafu ,Mr.lisu hafai kuwa kiongozi katika level ya urais,anaweza kuibua mambo ila sio kutawala nchi
Lissu hawezi kutawala. Lissu anaweza kuongoza.
Tanzania haihitaji mtawala. Tanzania inahitaji kiongozi.
 
Nawe nijibu,, hivi ni kwanini mnamuogopa sana mh Lissu amabaye ni mteule wa Mungu ili awe rais wetu sisi watanzania?
Ukikutana na mtu kichaa, au hata mbwa kichaa huogopi?
 
Back
Top Bottom