mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
MUNGU aliona Lissu aishi vinginevyo tusingejua hata haya ya mfalme juha kupeleka fomu zenye kasoro kibao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza kuuliza kwa nini namuogopa Lissu. Nikasema binadamu au mbwa kichaa lazima umuogope. sasa unasema Lumumba wamejaa vichaa, iweje kichaa amuogope kichaa? Imekuwaje unaniita wa Lumumba?Vichaa mmejazana hapo lumumba
ficha upumbavu wako, kuna mambo ni makubwa zaidi ya uwezo wako wa kufikiri,Sielewi mnaongea ninyi bavichaa?
Kwamba Lisu keshamshinda Magufuli au?
Kwa akili yenu mlifiiri Magufuli atapoteza muda wake aje kujibishana na huyo msaliti?
Lisu na chadema wote nyie ni hopeless!
Lisu alifikiri akija kuna mtu atamsumbuasumbua kumkamata,
Baadae mkasema atakatwa,
Hakatwi mtu ila atakatwa na watz kwenye sanduku la kura.
Mwambieni tutamnyoa kiduku kile
Tukipiga kura za kutosha hawawezi kuiba zote,Tume wakishaona wapiga kura wamefany yao itawalizimu wakubaliane na Wananchi.Huu ushauri wako ni muhimu sana kipindi hiki kuliko wakati wowote ule maana kama ni ng'ombe tayari tusha muweza kwa 95%.
Kilichobakia wanachojivunia kwa sasa ni ooo hii tume, hiii tume basi
Hahahaaaa...... Mimi ni CCM asilia bwashee!Yohana kwani na wewe ni MATAGA?
Unaweza kuthibitisha hii kauli au nyie ndio praise TIMU ya lumumba
Ficha upumbavu wakoUjinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi
Ficha upumbavu wako
Itoshe kusema kwamba huna akiliFicha ujinga wako taifa letu hili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Utapanic sana na bado,Fich
ficha upumbavu wako, kuna mambo ni makubwa zaidi ya uwezo wako wa kufikiri,
Siyo lazima uccoment kila pahala, pumbavu ww
Awamu ya Tano ilipoingia madarakani Ikulu ilikaribisha mabalozi nchini kwa chakula cha utambulisho lakini yeye hakushiriki ingawa alikuwepo Ikulu. Chakula hiki huleta mabalozi wote Ikulu kila mwaka toka Uhuru na watangulizi wake walitumia nafasi hiyo kujulisha ulumwengu kupitia mabalozi, mipango ya maendeleo ya Tanzania mwaka huo. Kiongozi wa nchi ya nje wa kwanza kutembelea Tanzania alikuwa Rais wa Vietnam lakini Rais wetu mpendwa hata uwanjani hakwenda kumpokea akipokelewa na Waziri Mambo ya Nje. Muda mfupi baadaye alifuatia Waziri Mkuu wa India akifuatiwa na Waziri Mkuu wa Ethiopia akifuatiwa na Mfalme wa Moroko wote wakija mwanzoni tu mwa Awamu hii. Miaka mitano hao viongozi wa nje ndo pekee waliotembelea nchi yetu ukiacha wale wa Kanda kama EAC au SADC waliokuja kwa shughuli za Jumuiya zao. Kabla ya Awamu hii, wageni viongozi wa nchi rafiki walikuwa wanapishana angani kuja Tanzania kuzungumzia namna ya kuboresha ushirikiano kati ya nchi yetu na nchi zao. Mfano:Historia itamkumbuka sana. Huyu mwamba kwa ujasiri alioonyesha naamin kabisa anaweza kupambana na mabeberu kwa vitendo sio Jiwe hata vikao vya international community anakimbia kisa tu hajiamini na hawezi kujieleza, wote tumemshuhudia miaka hii mitano akikimbia vikao vya kimataifa, matokeo yake nchi yetu imepoteza nguvu na ushawishi iliyokua nayo
Tundu Lissu ni mtu sahihi wa kuirudisha Tanzania kama nchi kiongozi.
Itoshe kusema kwamba huna akili
Ndio ni shujaa wa zama zetu. Hebu tutajie mtu yeyote mwingine aliyeweza kumchalenge Jiwe bila woga kama tundu LissuUtoto tu! Amefanya nini zaidi ya Mtikila? Kuna watu hamujitambui kiasi kila mtu kwenu ni shujaa
Ushauri mzuri sana mkuu, nawe hapo ulipo fanya hivyo kwa kuwashawishi ndugu na marafiki walio kuzungukaTukipiga kura za kutosha hawawezi kuiba zote,Tume wakishaona wapiga kura wamefany yao itawalizimu wakubaliane na Wananchi.
Tuhamasishane kupigia kura Haki na tuachane na hawa wapinga Katiba na kutuambia siyo kipaumbele chao huku wakifahamu ndiyo hitaji letu Watanzania.
Cdm tunasema kuwa tupo tayari kushirikiana na chama cha kweli cha upinzani.Mbona mna wananga Act achen uongo nyie wenyewe mnaona wenzenu wa vyama vingine hawafai
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
NEC hawawezi kutoa form ya mgombea urais ambaye wanajua ni kibaraka wa mabeberu, huu wimbo ume expireUjinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi
Unaweza kuthibitisha hii kauli au nyie ndio praise TIMU ya lumumbaUjinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi
WATANZANIA wenye access ya internet Ni asilimia CHACHE Sana hawafiki hata 10% ya population yote ya TZUtajua mwenyewe ila wenyewe ndo mlitwangana,umesahau ya mbowe