Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

MUNGU aliona Lissu aishi vinginevyo tusingejua hata haya ya mfalme juha kupeleka fomu zenye kasoro kibao.
 
Vichaa mmejazana hapo lumumba
Umeanza kuuliza kwa nini namuogopa Lissu. Nikasema binadamu au mbwa kichaa lazima umuogope. sasa unasema Lumumba wamejaa vichaa, iweje kichaa amuogope kichaa? Imekuwaje unaniita wa Lumumba?
Tatizo sasa hivi munadhani nchi nzima ni CCM na CDM. Wenye akili timamu hatuhitaji ushabiki wa kijinga maana unajikuta hata bwege anakuwa maarufu. Lissu yuko kundi la mabwege tu!
 
Fich
Sielewi mnaongea ninyi bavichaa?

Kwamba Lisu keshamshinda Magufuli au?

Kwa akili yenu mlifiiri Magufuli atapoteza muda wake aje kujibishana na huyo msaliti?

Lisu na chadema wote nyie ni hopeless!

Lisu alifikiri akija kuna mtu atamsumbuasumbua kumkamata,

Baadae mkasema atakatwa,
Hakatwi mtu ila atakatwa na watz kwenye sanduku la kura.

Mwambieni tutamnyoa kiduku kile
ficha upumbavu wako, kuna mambo ni makubwa zaidi ya uwezo wako wa kufikiri,
Siyo lazima uccoment kila pahala, pumbavu ww
 
Huu ushauri wako ni muhimu sana kipindi hiki kuliko wakati wowote ule maana kama ni ng'ombe tayari tusha muweza kwa 95%.

Kilichobakia wanachojivunia kwa sasa ni ooo hii tume, hiii tume basi
Tukipiga kura za kutosha hawawezi kuiba zote,Tume wakishaona wapiga kura wamefany yao itawalizimu wakubaliane na Wananchi.
Tuhamasishane kupigia kura Haki na tuachane na hawa wapinga Katiba na kutuambia siyo kipaumbele chao huku wakifahamu ndiyo hitaji letu Watanzania.
 
Fich

ficha upumbavu wako, kuna mambo ni makubwa zaidi ya uwezo wako wa kufikiri,
Siyo lazima uccoment kila pahala, pumbavu ww
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Utapanic sana na bado,

Subiri mpaka oktoba utafurahi tu
 
Tundu Lisu anatumia uwezo wake wa kuongea kuwadanganya misukule yake kama hivi mleta mada
20200827_083056.jpg
20200827_083113.jpg
 
Historia itamkumbuka sana. Huyu mwamba kwa ujasiri alioonyesha naamin kabisa anaweza kupambana na mabeberu kwa vitendo sio Jiwe hata vikao vya international community anakimbia kisa tu hajiamini na hawezi kujieleza, wote tumemshuhudia miaka hii mitano akikimbia vikao vya kimataifa, matokeo yake nchi yetu imepoteza nguvu na ushawishi iliyokua nayo

Tundu Lissu ni mtu sahihi wa kuirudisha Tanzania kama nchi kiongozi.
Awamu ya Tano ilipoingia madarakani Ikulu ilikaribisha mabalozi nchini kwa chakula cha utambulisho lakini yeye hakushiriki ingawa alikuwepo Ikulu. Chakula hiki huleta mabalozi wote Ikulu kila mwaka toka Uhuru na watangulizi wake walitumia nafasi hiyo kujulisha ulumwengu kupitia mabalozi, mipango ya maendeleo ya Tanzania mwaka huo. Kiongozi wa nchi ya nje wa kwanza kutembelea Tanzania alikuwa Rais wa Vietnam lakini Rais wetu mpendwa hata uwanjani hakwenda kumpokea akipokelewa na Waziri Mambo ya Nje. Muda mfupi baadaye alifuatia Waziri Mkuu wa India akifuatiwa na Waziri Mkuu wa Ethiopia akifuatiwa na Mfalme wa Moroko wote wakija mwanzoni tu mwa Awamu hii. Miaka mitano hao viongozi wa nje ndo pekee waliotembelea nchi yetu ukiacha wale wa Kanda kama EAC au SADC waliokuja kwa shughuli za Jumuiya zao. Kabla ya Awamu hii, wageni viongozi wa nchi rafiki walikuwa wanapishana angani kuja Tanzania kuzungumzia namna ya kuboresha ushirikiano kati ya nchi yetu na nchi zao. Mfano:
Marekani pekee Marais wao wote waliohai waliotembelea Tanzania ikiwa ni Carter, Clinton, Bush na Obama, wawili kati yao walirudi tena baada ya kustaafu Urais. Tanzania ni mwanachama wa Jumuiya ya Madola na kila miaka 4, viongozi wa nchi wanachama hukutana kwenye nchi mwanachama kujadili maendeleo ya wananchi wao na Mkutano wa Awamu hii ulifanyika Kigali lakini kiongozi wetu mpendwa hakuhudhuria. Kidiplomasia nchi yetu imefanya vibaya sana haijawahi kutokea bado tunataka watu wa nchi za nje waje kwenye Kisiwa cha Amani walete pesa za kigeni. Ukiona majirani wameacha kukutembelea jiulize kulikoni!
 
Tukipiga kura za kutosha hawawezi kuiba zote,Tume wakishaona wapiga kura wamefany yao itawalizimu wakubaliane na Wananchi.
Tuhamasishane kupigia kura Haki na tuachane na hawa wapinga Katiba na kutuambia siyo kipaumbele chao huku wakifahamu ndiyo hitaji letu Watanzania.
Ushauri mzuri sana mkuu, nawe hapo ulipo fanya hivyo kwa kuwashawishi ndugu na marafiki walio kuzunguka
 
Utajua mwenyewe ila wenyewe ndo mlitwangana,umesahau ya mbowe
Gambo alisha sema kuwa uvccm wengi wenu ni wanafiki sana na mkizeeka lazima mtakuwa wachawi.
 
Ujinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi
Unaweza kuthibitisha hii kauli au nyie ndio praise TIMU ya lumumba
Utajua mwenyewe ila wenyewe ndo mlitwangana,umesahau ya mbowe
WATANZANIA wenye access ya internet Ni asilimia CHACHE Sana hawafiki hata 10% ya population yote ya TZ
SEHEMU KUBWA YA WATANZANIA WANAISHI VIJIJINI....

Kikubwa serikali ya Tanzania ufanye haraka kufanikisha Mfumo wa Raisi wa Urusi Putin Wana u adopt haraka ili waweze kutawala kwa muda mrefu zaidi...

Kuna makundi mengi katika jamii ambayo hayana Cha kupoteza kwao serikali iliyopo madarakani haijawai kugusa maisha yao in any positive way.....
KIKUBWA TUENDELEE KUDUMISHA AMANI......
Hofu ya serikali iliyopo madarakani na WATANZANIA wengine Ni je ?
Tukiwapa wapinzani hii nchi hawata tu haribika nchi hii tukajikuta tunaikumbuka CCM?
Itoshe kusema kwamba upinzani Ni moyo upinzani Ni hisia upinzani hauzuiliwi kwa vitisho
Hii nchi itajengwa na akili kubwa tuanze na Mfumo wa ELIMU yetu
 
Back
Top Bottom