Ujinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi
Huyu ni kibaraka wa mabeberu, kaulize Angola , libya, Congo, etc jinsi vibaraka wenzake wa huko walivyoharibu nchi, Tundu lissu Kuna watu wa ulaya na marekani wapo nyuma yake kwa maslai yao na rasilimali zetu
Hakuna kitu kibaya kama kujipa moyo kwa imagination,watu wengi wanawaza kumiliki magorofa wakikaa chini ya mti na mwishowe wanakufa na umasikini wao,kitu pekee tundu lisu anaweza fanya ni udiwani kwa sasa maanabhata ubunge ulimshimda
Ni kawaida kwa mbuzi jike kumuogopa mabeberu mana shughuli yake c mchezo
Aisee Tundu anampa mtu ugonjwa wa moyo soon!Tangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253
Wewe ulidhani Tanzania ni mali ya nani bwashee?!
Tundu Lisu na viongozi wa Chadema wanajua kabisa uchaguzi huu wanakwenda kushindwa kwa aibu kubwa na ndiomaana viongozi wengi wa juu wa Chadema Dalili zote zinaonyesha wamesha kata tamaa.
Ninalifanya hilo Mkuu,nimekuwa nahamasisha kuwa CCM Mpya haifai kuendelea kuwepo madarakani kwa kipindi kirefu tu.Ushauri mzuri sana mkuu, nawe hapo ulipo fanya hivyo kwa kuwashawishi ndugu na marafiki walio kuzunguka
Jidanganye tu. Bibi yangu Njombe huko saivi anatumia internetUnaweza kuthibitisha hii kauli au nyie ndio praise TIMU ya lumumba
WATANZANIA wenye access ya internet Ni asilimia CHACHE Sana hawafiki hata 10% ya population yote ya TZ
SEHEMU KUBWA YA WATANZANIA WANAISHI VIJIJINI....
Kikubwa serikali ya Tanzania ufanye haraka kufanikisha Mfumo wa Raisi wa Urusi Putin Wana u adopt haraka ili waweze kutawala kwa muda mrefu zaidi...
Kuna makundi mengi katika jamii ambayo hayana Cha kupoteza kwao serikali iliyopo madarakani haijawai kugusa maisha yao in any positive way.....
KIKUBWA TUENDELEE KUDUMISHA AMANI......
Hofu ya serikali iliyopo madarakani na WATANZANIA wengine Ni je ?
Tukiwapa wapinzani hii nchi hawata tu haribika nchi hii tukajikuta tunaikumbuka CCM?
Itoshe kusema kwamba upinzani Ni moyo upinzani Ni hisia upinzani hauzuiliwi kwa vitisho
Hii nchi itajengwa na akili kubwa tuanze na Mfumo wa ELIMU yetu
Kwa hizo akili zako wew ni wakutolea mahali na kukuvalisha khanga uanze kutinduliwa kila siku na kila mda ili upate cofidensUjinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi
Hakuna anaegopwa,lakin kamwe hatuwez kuweka taifa katika risk ya kumpa mtu ambae anatumika kutuhujumu,#ccmmiaka 1000
Pia ametuonesha kuwa wale wenye jukumu la kusimamia Sheria,hizo Sheria hawazijui na wanafanya vitu tu kwa mihemuko.Meaning kwamba huko magerezani tunaweza kuwa na watanzania wengi waliofungwa kimihemukoTangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253
Kwa pamoja tutashinda mkuuNinalifanya hilo Mkuu,nimekuwa nahamasisha kuwa CCM Mpya haifai kuendelea kuwepo madarakani kwa kipindi kirefu tu.
Ninaamini hata jukwaa hili tukilitumia vema litatusaidia kufikisha elimu ya uraia kwa wengi.
Nakushauri tuendelee bila kuchoka kushawishi kuifungasha virago CCM iliyochoka na kujibadili kuwa magaidi.