Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Ni kawaida kwa mbuzi jike kumuogopa mabeberu mana shughuli yake c mchezo
Huyu ni kibaraka wa mabeberu, kaulize Angola , libya, Congo, etc jinsi vibaraka wenzake wa huko walivyoharibu nchi, Tundu lissu Kuna watu wa ulaya na marekani wapo nyuma yake kwa maslai yao na rasilimali zetu
 
Kwel we ni poor man
Hakuna kitu kibaya kama kujipa moyo kwa imagination,watu wengi wanawaza kumiliki magorofa wakikaa chini ya mti na mwishowe wanakufa na umasikini wao,kitu pekee tundu lisu anaweza fanya ni udiwani kwa sasa maanabhata ubunge ulimshimda
 
Tangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.

Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.

Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.

Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.

Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.

Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.

TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.

ANATUFAA WATANZANIA.

View attachment 1549253
Aisee Tundu anampa mtu ugonjwa wa moyo soon!
 
Lissu angekuwa na Mwalimu enzi za TANU ,Tanzania ingekuwa nchi ya kwanza afrika kupata uhuru,nathubutu kusema baada ya Mwalimu Nyerere mpigania haki katika taifa hili ni Tundu Lissu,Nikiwaweka TL na Mkwavinyika kwenye mizani naona uzani wao uko sawa,mtampinga hadharani lakini mioyoni mwenu mnakubali Lissu ni mpenda haki asiyeogopa lolote.
 
Tundu Lisu na viongozi wa Chadema wanajua kabisa uchaguzi huu wanakwenda kushindwa kwa aibu kubwa na ndiomaana viongozi wengi wa juu wa Chadema Dalili zote zinaonyesha wamesha kata tamaa.

Kwani wao ndiyo wanaopiga kura wapiga kura ndiyo wanajuwa watamchagua nani kati ya mtu mkatili wa kuwafokea na mtu muadilifu mpenda haki na mtetezi wao tusubiri tuone huyo anaye waambie wamiliki wa vyombo vya habari watch it tuone kama atapata hata 20% anawachezea sana watanzania wa leo
 
Ushauri mzuri sana mkuu, nawe hapo ulipo fanya hivyo kwa kuwashawishi ndugu na marafiki walio kuzunguka
Ninalifanya hilo Mkuu,nimekuwa nahamasisha kuwa CCM Mpya haifai kuendelea kuwepo madarakani kwa kipindi kirefu tu.
Ninaamini hata jukwaa hili tukilitumia vema litatusaidia kufikisha elimu ya uraia kwa wengi.
Nakushauri tuendelee bila kuchoka kushawishi kuifungasha virago CCM iliyochoka na kujibadili kuwa magaidi.
 
Unaweza kuthibitisha hii kauli au nyie ndio praise TIMU ya lumumba

WATANZANIA wenye access ya internet Ni asilimia CHACHE Sana hawafiki hata 10% ya population yote ya TZ
SEHEMU KUBWA YA WATANZANIA WANAISHI VIJIJINI....

Kikubwa serikali ya Tanzania ufanye haraka kufanikisha Mfumo wa Raisi wa Urusi Putin Wana u adopt haraka ili waweze kutawala kwa muda mrefu zaidi...

Kuna makundi mengi katika jamii ambayo hayana Cha kupoteza kwao serikali iliyopo madarakani haijawai kugusa maisha yao in any positive way.....
KIKUBWA TUENDELEE KUDUMISHA AMANI......
Hofu ya serikali iliyopo madarakani na WATANZANIA wengine Ni je ?
Tukiwapa wapinzani hii nchi hawata tu haribika nchi hii tukajikuta tunaikumbuka CCM?
Itoshe kusema kwamba upinzani Ni moyo upinzani Ni hisia upinzani hauzuiliwi kwa vitisho
Hii nchi itajengwa na akili kubwa tuanze na Mfumo wa ELIMU yetu
Jidanganye tu. Bibi yangu Njombe huko saivi anatumia internet
 
Ujinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi
Kwa hizo akili zako wew ni wakutolea mahali na kukuvalisha khanga uanze kutinduliwa kila siku na kila mda ili upate cofidens
 
Akishashinda utaona watu watakavoanza kumsifia na kumnanga mgombea wao watasema yeye ndiye amesababisha hayo yote wakati sasa hivi hawasemi. Hauwezi kuwaongoza watu kwa kuwafokea fokea na kuwatisha na kuwajaza hofu ambayo hawakuizoea. Lazima watakuchoka na hutachagulika. Hivi mtu akifungie kwenye chumba cha uchaguzi amchague mtu anayemnyima hata uhuru wa kuongea mawazo yake tu, kwa sababu gani amchague huyo Nyerere alisema ni heri kuwa masikini lakini ukawa huru katika nchi yako siyo kujazwa hofu na mtawala.
 
Tangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.

Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.

Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.

Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.

Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.

Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.

TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.

ANATUFAA WATANZANIA.

View attachment 1549253
Pia ametuonesha kuwa wale wenye jukumu la kusimamia Sheria,hizo Sheria hawazijui na wanafanya vitu tu kwa mihemuko.Meaning kwamba huko magerezani tunaweza kuwa na watanzania wengi waliofungwa kimihemuko
 
Ninalifanya hilo Mkuu,nimekuwa nahamasisha kuwa CCM Mpya haifai kuendelea kuwepo madarakani kwa kipindi kirefu tu.
Ninaamini hata jukwaa hili tukilitumia vema litatusaidia kufikisha elimu ya uraia kwa wengi.
Nakushauri tuendelee bila kuchoka kushawishi kuifungasha virago CCM iliyochoka na kujibadili kuwa magaidi.
Kwa pamoja tutashinda mkuu
 
Back
Top Bottom