Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Watawala waovu walikuwa wameshawaaminisha watanzania kuwa tanzania ni mali ya watawala, na kwamba watawaliwa hawaruhusiwi kuhoji, wala kusema chochote zaidi ya kufuata kile kitakachoamuliwa na watawala, kuhoji ikawa kosa la jinai na kila mtu akaogopa kumuongea bwana yule akihofia usalama wake!

Ilikuwa ukitamka jina la bwana yule katika public basi ni katika kusifu na kumuabudu.

Ikafika mbali hata baadhi ya wajinga na wapumbavu wakamuita "mungu" na "yesu" mbaya zaidi eti wakadai ipo siku "MUNGU" atashuka kuja kumuomba msaada mtu yule, hii kufuru kabisa kuwahi kutokea, shame upon the dictator and his failed system!

Viva Mtanzania lissu, umewaondolea madikteta ule utukufu waliodhani wanao, walijifanya miungumtu, aibu yao sasa vile tunawadharau, sio kitu wao!
Hongera sana kwa comment mzuri sana yenye kuelimisha
 
Wewe ulidhani Tanzania ni mali ya nani bwashee?!
Nia yenu hovu mliyokusudia ya kuwadanganya watanzania kuwa Tanzania ni mali ya ccm, sasa mh Lissu kasha ikndoa akilini kwa watanzania.
 
Ongelea nafsi yako na wanachadema wenzio usijumuishe wote ni uropokaji huo,mtashika nafasi ya nne
Watanzania woote wamesha amua kuwa mh Lissu ndiye chaguo lao.
 
Hakuna kitu kibaya kama kujipa moyo kwa imagination,watu wengi wanawaza kumiliki magorofa wakikaa chini ya mti na mwishowe wanakufa na umasikini wao,kitu pekee tundu lisu anaweza fanya ni udiwani kwa sasa maanabhata ubunge ulimshimda
Kama baba yako Jiwe kakubali kuwa Lissu ndiye mwenye uwezo wa kuikngoza nchi, wewe kibataka unapata wapi nguvu ya kumpinga mh Lissu?
 
Nia yenu hovu mliyokusudia ya kuwadanganya watanzania kuwa Tanzania ni mali ya ccm, sasa mh Lissu kasha ikndoa akilini kwa watanzania.
Wewe uliamini Tanzania ni mali ya CCM?!

Bure kabisa we bavicha!
 
Labda nafasi ya nne duniani kwa ubora
Ushaweuka we we mapenzi ya chama yamekuingia akilini hatimae akili imeruka unajiona sasa ni internationally, urais ni taasisi sioni taasisi inayounda urais kutoka chadema
 
Huyu mwamba alinchosha aliposema Passports size za JPM zimekaa kiupande hahahahah.

Utawala wa Lissu utakua burudani sana 2020-2025
Huyo ndiyo kiongozi wa watu, siyo kiongozi unahutubia watu woote wamenuna kama wamekunywa muarobaini
 
Ushaweuka we we mapenzi ya chama yamekuingia akilini hatimae akili imeruka unajiona sasa ni internationally, urais ni taasisi sioni taasisi inayounda urais kutoka chadema
Tulieni sasa dawa iwangieni ili huo ukichaa wenu upone.
 
Nazo ni ndoto za mchana,mtatoka sana povu mwaka huu lakin jambo ni lile lile ushindi
Kama baba yako Jiwe kakubali kuwa Lissu ndiye mwenye uwezo wa kuikngoza nchi, wewe kibataka unapata wapi nguvu ya kumpinga mh Lissu?
 
Ujinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi
Pole sana mkuu kwa maumivu yaliyokupata. Ulitamani sana awe ametoweshwa Duniani lkn Mola kampigania hadi leo Yuhai.
 
Nazo ni ndoto za mchana,mtatoka sana povu mwaka huu lakin jambo ni lile lile ushindi
Hivi hapo povu anatokwa nani? [emoji23][emoji23] naona mataga mnavyo nuna kama mmemeza chroloquine
 
Mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyewe ,mpigane rusasi wenyewe mtusingizie sisi wewe ulisikia wapi
Pole sana mkuu kwa maumivu yaliyokupata. Ulitamani sana awe ametoweshwa Duniani lkn Mola kampigania hadi leo Yuhai.
 
Huyu ni kibaraka wa mabeberu, kaulize Angola , libya, Congo, etc jinsi vibaraka wenzake wa huko walivyoharibu nchi, Tundu lissu Kuna watu wa ulaya na marekani wapo nyuma yake kwa maslai yao na rasilimali zetu
Mabeberu gani hao unaowasema?
 
Pole sana mkuu kwa maumivu yaliyokupata. Ulitamani sana awe ametoweshwa Duniani lkn Mola kampigania hadi leo Yuhai.
Hilo ndiyo linawaumiza sana lumumba maana walitegemea sana kuwa uchaguzi mkuu watapata ushindi wa bure kama ule wa serikali za mitaa.
 
Back
Top Bottom