johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe ulidhani Tanzania ni mali ya nani bwashee?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana kwa comment mzuri sana yenye kuelimishaWatawala waovu walikuwa wameshawaaminisha watanzania kuwa tanzania ni mali ya watawala, na kwamba watawaliwa hawaruhusiwi kuhoji, wala kusema chochote zaidi ya kufuata kile kitakachoamuliwa na watawala, kuhoji ikawa kosa la jinai na kila mtu akaogopa kumuongea bwana yule akihofia usalama wake!
Ilikuwa ukitamka jina la bwana yule katika public basi ni katika kusifu na kumuabudu.
Ikafika mbali hata baadhi ya wajinga na wapumbavu wakamuita "mungu" na "yesu" mbaya zaidi eti wakadai ipo siku "MUNGU" atashuka kuja kumuomba msaada mtu yule, hii kufuru kabisa kuwahi kutokea, shame upon the dictator and his failed system!
Viva Mtanzania lissu, umewaondolea madikteta ule utukufu waliodhani wanao, walijifanya miungumtu, aibu yao sasa vile tunawadharau, sio kitu wao!
Kama baba yako Jiwe kakubali kuwa Lissu ndiye mwenye uwezo wa kuikngoza nchi, wewe kibataka unapata wapi nguvu ya kumpinga mh Lissu?Hakuna kitu kibaya kama kujipa moyo kwa imagination,watu wengi wanawaza kumiliki magorofa wakikaa chini ya mti na mwishowe wanakufa na umasikini wao,kitu pekee tundu lisu anaweza fanya ni udiwani kwa sasa maanabhata ubunge ulimshimda
Wewe uliamini Tanzania ni mali ya CCM?!Nia yenu hovu mliyokusudia ya kuwadanganya watanzania kuwa Tanzania ni mali ya ccm, sasa mh Lissu kasha ikndoa akilini kwa watanzania.
Ushaweuka we we mapenzi ya chama yamekuingia akilini hatimae akili imeruka unajiona sasa ni internationally, urais ni taasisi sioni taasisi inayounda urais kutoka chademaLabda nafasi ya nne duniani kwa ubora
Huyo ndiyo kiongozi wa watu, siyo kiongozi unahutubia watu woote wamenuna kama wamekunywa muarobainiHuyu mwamba alinchosha aliposema Passports size za JPM zimekaa kiupande hahahahah.
Utawala wa Lissu utakua burudani sana 2020-2025
Wewe ni MTU wa mipasho huna hojaTulieni sasa dawa iwangieni ili huo ukichaa wenu upone.
Kama baba yako Jiwe kakubali kuwa Lissu ndiye mwenye uwezo wa kuikngoza nchi, wewe kibataka unapata wapi nguvu ya kumpinga mh Lissu?
Pole sana mkuu kwa maumivu yaliyokupata. Ulitamani sana awe ametoweshwa Duniani lkn Mola kampigania hadi leo Yuhai.Ujinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi
Pole sana mkuu kwa maumivu yaliyokupata. Ulitamani sana awe ametoweshwa Duniani lkn Mola kampigania hadi leo Yuhai.
Mabeberu gani hao unaowasema?Huyu ni kibaraka wa mabeberu, kaulize Angola , libya, Congo, etc jinsi vibaraka wenzake wa huko walivyoharibu nchi, Tundu lissu Kuna watu wa ulaya na marekani wapo nyuma yake kwa maslai yao na rasilimali zetu
Hilo ndiyo linawaumiza sana lumumba maana walitegemea sana kuwa uchaguzi mkuu watapata ushindi wa bure kama ule wa serikali za mitaa.Pole sana mkuu kwa maumivu yaliyokupata. Ulitamani sana awe ametoweshwa Duniani lkn Mola kampigania hadi leo Yuhai.