Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Kama haya hukuyajua basi uliwahi kuja JF badala ya kwenda shule. Maliza masomo ndo uje kujadili hapa!
Ninacho furahia ni kuwa umeusoma huu uzi na umeelewa kilicho andikwa
 
Huyu ni kibaraka wa mabeberu, kaulize Angola , libya, Congo, etc jinsi vibaraka wenzake wa huko walivyoharibu nchi, Tundu lissu Kuna watu wa ulaya na marekani wapo nyuma yake kwa maslai yao na rasilimali zetu
Mbona hamsemi hao mnaowaita mabeberu ni nani? Hata huyo anayewaimbisha hizo ngonjera za mabeberu hajawahi kuwataja.
 
Ninacho furahia ni kuwa umeusoma huu uzi na umeelewa kilicho andikwa
Naomba kuuliza kwa upole kabisa! Nijibu kwa upole.
Kwa nini kila anachosema Lissu munakiona ni kipya? Ni kweli kwamba uelewa wenu ni mdogo kiasi hicho?
 
Historia itamkumbuka sana. Huyu mwamba kwa ujasiri alioonyesha naamin kabisa anaweza kupambana na mabeberu kwa vitendo sio Jiwe hata vikao vya international community anakimbia kisa tu hajiamini na hawezi kujieleza, wote tumemshuhudia miaka hii mitano akikimbia vikao vya kimataifa, matokeo yake nchi yetu imepoteza nguvu na ushawishi iliyokua nayo

Tundu Lissu ni mtu sahihi wa kuirudisha Tanzania kama nchi kiongozi.
mabeberu ni kuwatumia postive tu ili kuleta maendeleo kama walivofanya nchi zingine
 
Rais bora utoka fani ya sheria,uchumi,biashara au diplomasia
Hapana! Kama hawezi kueleza maana ya density, enzi hizi za sayansi na teknolojia basi hatuhitaji mtu wa aina hiyo.
 
serikali ya watu kwa ajili ya watu na serikali ya watu kwa ajili ya mtu.Nafasi pekee watz tuiyonayo ni sasa tukizubaa tu tumeliwa,hawa wakurugenzi wanaotumika hovyo kuwanyima watu haki ya kuchagua sababu ya njaa zao ni kunyooka nao mbele kwa mbele
 
Mkuu lazima tu iwe hivyo kutoka kupanga namna yamaziko yakavyokuwa hadi mgombea urais it is Miracle. Wanaona wanashindana na mtu ambaye risasi imeshindwa kumtokemeza
Ni muujiza unao tembea na hilo ndiyo linalo waumiza sana watesi wake.
 
Back
Top Bottom