Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Waliokujaza

Waliokujaza huko KUTOKUJIAMINI ni hao mabeberu na wakoloni mamboleo kwa nia na lengo la kukufifisha kiakili, kimawazo na kiutendaji ili ubakie TEGEMEZI KWAO kama walivyomfanyia Lissu kwa muda wa miezi 36 aliyokuwa huko Ulaya akiwategemea kwa kila kitu ikiwa ni pamoja na matibabu. Anachofanya Tundu Lissu ni kuwakilisha waliyomtuma kwa nia na lendgo la kuichafua nchi hii. Kwa kiasi kidogo tumeanza kuona sumu yake ikiwaingia wajinga wachache kama ilivyotokea huko Tunduma. Hii ni sumu ambayo isipokemewa na kutafutiwa dawa na dola, itachafua uchaguzi na kumpa BICHWA Lissu na hao wajinga wachache na WASIOJIELEWA. Kama MZALENDO, napenda kuchua fursa hii kumwambia Lissu kuwa "TANZANIANS LIVES MATTER (TLM)". Kama naruhusiwa kuiga kilio cha Wamarekani wachukiao ubaguzi kwa kauli mbiu yao ya "BLACK LIVES MATTER (BLM)".

To people like Lissu and his friends including Amsterdam, our lives, the lives of Tanzanians, the blood of innocent Tanzanians DOES NOT MATTER TO. What matters to Lissu is the "presidency" and what matters to his friends are ways and means of stealing and plundering the riches of our rich Tanzania for their benefit and as such leaving us poor and dependent on them.

This will not happen in this era of awakening as done by our President who has categorically told us that our country, Tanzania, IS RICH and that we are not supposed to be POOR. Let me conclude by saying it again for Lissu and his friends that "TANZANIANS LIVES MATTER (TLM)".
Naona povu teeleeeeee
 
Hakika tunajifunza mengi kwa Mh Tundu Lissu. Ana uelewa mpana sana mambo mengi, anajiamini, anasimamia haki. Hakika Rais tumepata. Imebaki kuapishwa tu. Huyu ndio atuongoze na kutuwakilisha kama nchi.
 
Nakumbuka ule utafiti Mkuu kwamba MAZWAZWA ndiyo wanaoipenda ccm siku hizi wako mpaka maprof eti wanadai waliokotwa jalalani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeonaeeeeee? Hiyo ilisababisha Byagunze akaulizwa uraia wake.
 
Akishashinda utaona watu watakavoanza kumsifia na kumnanga mgombea wao watasema yeye ndiye amesababisha hayo yote wakati sasa hivi hawasemi. Hauwezi kuwaongoza watu kwa kuwafokea fokea na kuwatisha na kuwajaza hofu ambayo hawakuizoea. Lazima watakuchoka na hutachagulika. Hivi mtu akifungie kwenye chumba cha uchaguzi amchague mtu anayemnyima hata uhuru wa kuongea mawazo yake tu, kwa sababu gani amchague huyo Nyerere alisema ni heri kuwa masikini lakini ukawa huru katika nchi yako siyo kujazwa hofu na mtawala.

[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mmawia, siyo povu tele, huo ndio ukweli na naomba mmwambie Lissu na wenzake pamoja na Amsterdam kuwa "TANZANIANS LIVES MATTER!
Pole sana, ila ukweli utabakia ukweli tu kuwa mh Lissu ndiye chaguo la watanzania.
 
mnajitahidi kumsifia kila sku umu alafu jamaa bado anaongea pumba daaah kazi mnayo
 
mnajitahidi kumsifia kila sku umu alafu jamaa bado anaongea pumba daaah kazi mnayo
Anaye ongea pumba mnamfahamu sana tu wacheni kurusha jiwe kichakani ili muone atatoka mnyama gani
 
Ujinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi
Ukibaraka wake uko wapi? Mnaimba kama kasuku tu! Jiwe na sisiem mlisaini mikataba mibovu ya madini (jiwe alikua Mbunge na Waziri) hao ndio wasaliti, badala yake nyie wapuuzi mnamwita lissu ambaye toka enzi za tisini wakati huyu mshsmba wenu anavaa oversize suits alikua anapambana pekee na nyinyi na mabeberu msipore rasilimali zetu na utawala Wa mkapa ukamweka jela, Leo hii mnakuja na propaganda za kijinga mkifikiri tumesau jinsi wabunge Wa upinzani mlivyokua mnawazomea wakipinga usaliti wenu halafu eti Leo mnasimama hadharani bila aibu na kujifanya wazalendo, hebu semeni Leo, waliosaini mikataba hiyo usiku hotelini wamechukuliwa hatua gani? Baraza la mawaziri lililo afiki na marais waliopitisha wamechukuliwa hatua gani? Leo mvuta bangi mmoja anaependa umaarufu anawatisha mnamuimbia mapambio, mtasema uongo mwisho wenyewe mtasema ukweli maana ukweli huwa haubadiliki
 
Kwel get la milembe liko waz nimeamin

Vibaraka ni wanaoendekeza wasiojulikana na wasiopenda haki.
 
Ili tuendelee tunahitaji wanaokwenda kinyume nasi. Yaani wapinzani ni watu muhimu. Tundu Lissu sina ugomvi nae kama mtanzania ambaye nilimchangia akatibiwe kwa mabaya yaliyompata.

Kwa kuwa amezidi kufurahi, aendelee kufurahi kwa kuwa HATAKUWA RAISI wa TANZANIA.
Na uchaguzi huu au mwingineo ujao hatashinda. Ana kiburi, lugha chafu, majivuno, pamoja na taaluma nzuri aliyonayo haitoshi kumpa sifa za kuwa kiongozi bora. Wengi wanaomjua hawamzungumzii vizuri. Pia hafahamiki na hana mengi alifanya ya kuinua wananchi wakati wa uongozi wake
 
Historia itamkumbuka sana. Huyu mwamba kwa ujasiri alioonyesha naamin kabisa anaweza kupambana na mabeberu kwa vitendo sio Jiwe hata vikao vya international community anakimbia kisa tu hajiamini na hawezi kujieleza, wote tumemshuhudia miaka hii mitano akikimbia vikao vya kimataifa, matokeo yake nchi yetu imepoteza nguvu na ushawishi iliyokua nayo

Tundu Lissu ni mtu sahihi wa kuirudisha Tanzania kama nchi kiongozi.
Kanunue darubini ya umeme hiyo ya mbao inakupoteza. Wewe cha muhimu kwako ni nguvu ya ushawishi na sio kuwainua wananchi kiuchumi. Unafaa kuwa dalali mzuri. Tabularasa wewe
 
mbona nyie mlimpa nchi zichi lakn si tumevumilia miaka 5??na sisi ni zamu yetu sasa! Ni heri uwe kibaraka kuliko ukichaa
 
Back
Top Bottom