Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Mabeberu ni wiomtuma kuleta machafuko ili watumie nafasi hiyo kutawala nchi kiuchumi. Yeye anaamini bila hao nchi haiwezi kuendelea, lakini katika miaka 5 ya utawala wa Serikali iliyoko madarakani imethibitisha kwa vitendo maana ya kujitegemea.
Kumbe Mabeberu ndo wanaoleta Machafuko eeh????
Kwa iyo mabeberu ndo wanaoteka wagombea wa Chadema ili wasirudishe fomu???
Mabeberu ndo wanaowaengua wagombea wa upinzani huku wakiwaacha wagombea wa CCM?
Kwa iyo kumbe mabeberu ndo wanaowakamata wagombea wa upinzani na kuwabambikia makesi ili wasirudishe fomu????