Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Mabeberu ni wiomtuma kuleta machafuko ili watumie nafasi hiyo kutawala nchi kiuchumi. Yeye anaamini bila hao nchi haiwezi kuendelea, lakini katika miaka 5 ya utawala wa Serikali iliyoko madarakani imethibitisha kwa vitendo maana ya kujitegemea.

Kumbe Mabeberu ndo wanaoleta Machafuko eeh????

Kwa iyo mabeberu ndo wanaoteka wagombea wa Chadema ili wasirudishe fomu???

Mabeberu ndo wanaowaengua wagombea wa upinzani huku wakiwaacha wagombea wa CCM?

Kwa iyo kumbe mabeberu ndo wanaowakamata wagombea wa upinzani na kuwabambikia makesi ili wasirudishe fomu????
 
Mabeberu ni wiomtuma kuleta machafuko ili watumie nafasi hiyo kutawala nchi kiuchumi. Yeye anaamini bila hao nchi haiwezi kuendelea, lakini katika miaka 5 ya utawala wa Serikali iliyoko madarakani imethibitisha kwa vitendo maana ya kujitegemea.
Mnadaiwa madeni kibao kutoka kwa wenye moyo wa kukopesha
 
Kumbe Mabeberu ndo wanaoleta Macha fujo eeh????

Kwa iyo mabeberu ndo wanaoteka wagombea wa Chadema ili wasirudishe fomu???

Mabeberu ndo wanaowaengua wagombea wa upinzani huku wakiwaacha wagombea wa CCM?

Kwa iyo kumbe mabeberu ndo wanaowakamata wagombea wa upinzani na kuwabambikia makesi ili wasirudishe fomu????
Kuna video clip inatembea sasa hivi kule Instagram ikionyesha jinsi Madelu anavyotumia polis kupiga mabomu ya machozi kumnyanganya form mgombea wa cdm Kishoa, ni aibu sana ccm wanafanya.
 
Watapata majibu ya wanachokitafuta mwaka huu!!! Hata mie ningekuwa askari nisingetekeleza amri za kipuuzi namna iyo huku wananchi wakiumia
 
Mambo ya aibu sana eti dume zima unalazimika kutumia askari kumpora mtoto wa kike haki yake.
 
Mwisho wa yote haya ni mwaka huu!! Lazima tutafika mahali kila mtu ataamua kurudi na kuuliza tulikosea wapi na hapo ndo tutapata majibu ya kweli
 
Mlimtukana matusi ya nguoni mzee wa watu bila sababu ya msingi, kisa kahamia cdm.

Leo hii mwenye chama chake ccm kaamua kumrudisha chamani sasa mataga kama wewe ndiyo mnamramba viatu.

Hakika kwa hili lazima nimsifu mwenyekiti wa ccm maana ameamua kuwatia adabu nyinyi watukanaji wakubwa ndani ya chama chenu.

ccm hawakumpitisha na hata amerudi hakuna cheo chochote anacho, sasa wewe amekuja mshaanza kulambaa miguu na huyo kilema wenu kuanza kumshobokea wakati alikua anampinga, machizi bana
 
Machizi mmejazana lumumba hadi wengine wamejitangaza kabisa
 
Mnadaiwa madeni kibao kutoka kwa wenye moyo wa kukopesha
Mwenye fikra za maendeleo kamwe hawezi muda wote kutumia fedha zake wakati kuna njia mbadala za mitaji zilizokubalika kiuchumi. Kama ndiyo Sera za CHADEMA, haishangazi chama kutokuwa na ofisi zake pamoja na kuwa na fedha za ruzuku na wanazochangia wabunge wake. Hiki ati ndio Chama, Lissu anavimba mishipa ya shingo kumdhihaki Magufuli! Du, hakika nyani haoni kundule;
 
Deni la taifa linakimbia utadhani ni speed ya rocket [emoji573]
 
Ccm ina zaidi ya miaka 58 imefanya kitu gani cha kujivunia? Sana sana kuwasababishia wananchi umasikini mtupu
Nimeomba utaje ambayo CHADEMA imefanya kuonesha ni chama cha siasa chenye hadhi ya kuongoza nchi badala ya CCM kama unavyodai.
 
Wewe mbona huwezi kuyataja yaliyo fanywa na liccm?
 
Deni la taifa linakimbia utadhani ni speed ya rocket [emoji573]
Deni la Taifa limetumikaje, hilo ndilo liwe swali la msingi, kama ambavyo WaTz, wanachama na wafuasii wa CHADEMA wanavyotaka waelezwe kuhusu matumizi ya ruzuku.
 
Muwashukuru sana mabeberu, bila wao mungekuwa mnavaa magome ya miti
 
Wewe mbona huwezi kuyataja yaliyo fanywa na liccm?
Mwenye macho haambiwi tazama, nwenye masikio na asikie. Yaliyofanywa na "liccm" viongozi wa CHADEMA wanakubali ni "maendeleo ya vitu". Na wao waoneshe "maendeleo ya watu" tangu chama kianzishwe
 
Muwashukuru sana mabeberu, bila wao mungekuwa mnavaa magome ya miti
Kwa kuwa hujavaa magome ya miti, watoto wetu wanaenda shule pasipo kuwalipia ada, mama na dada zetu wanajifungua salama kwenye vituo cya afya vilivyo karibu, wananchi wanakwenda kwenye shughuli zao za kimaisha kupitia njia za usafiri zilizoimarishwa, nk, bila shaka ni hatua nzuri ya maendeleo.
 
Watoto wangu nawalipia kodi hakuna mwangu asiyelipiwa kodi
 
Back
Top Bottom