Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.
Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi
3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.
4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi
Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
NORENE sio ya LISSU Ni ya CHAMA ,Yalipitoshwa Enzi za Mbowe, LISSU ANASIMAMIA UTEKELEZAJIChama cha siasa malengo yake ni kushika dola.
Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi
3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.
4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi
Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
Watu wamezuia kete ngumuKinachokuliza ni nini?
Ulitakiwa kuandika kwa furaha na emoji kubwa kubwa ila umeandika kwa simanzi sanaChama cha siasa malengo yake ni kushika dola.
Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi
3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.
4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi
Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
Ndio unajua leo?Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.
Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi
3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.
4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi
Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
1-Mbowe hakua anamshambulia LISSU?? Watu wenye Akili Huwa hatuvumiliii ujinga .Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.
Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi
3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.
4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi
Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
Weee ni lijinga 3 na 4 zimethibitisha hilo.Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.
Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi
3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.
4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi
Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
Baada ya kumaliza kusahinisha vyama CcM B sasa unakuja kulalamika hapa siyo. Lissu kawaweza hasa. Nasubiri povu.Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.
Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi
3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.
4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi
Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
Daah ila π π―π―π―JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Uanasheria mkuu wa wapi?Ujinga mtupu, MTU aliyekataa Unasheria Mkuuu wa Serikali Enzi za JPM, Akapigwa Risasi, akatafutiwa Mabilioni ya fedhaa na bado akagoma Kuhamia CCM.
Abdul akatumia Mabilioni wapiiiii .
Hivi unamjua LISSU wewe ??.
Muwe mnatumia Akili hata kidogo .
Mirija ilikatwa, kurudi kwa Nchimbi kumemrudisha kwa mbaaaliiiiNILIDHANI UMEKUFA MAANA HUONEKANI HUMU!
Ila bado wanasema ni vibaraka wa JPM wanahusika hadi sasa πDaah ila π π―π―π―
Acha kabisa kufananisha Uwezo wa kiakili wa LISSU na nyinyi ma ccm .Uanasheria mkuu wa wapi?
Mirembe?