PreGE2025 Tundu Lissu ametumwa kuja kuiua CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mi naona bora Chadema wamejiondoa kwenye chaguzi hizi ambazo matokeo yake ni wapinzani kuumizwa na kuporwa ushindi na police na serikali ya ccm kuwakata majina,
Mtu anatumia gharama kubwa kwenye campaign then anaposhinda anaporwa ushindi na police wa ccm,
Wapinzani bora wote wajiondoe wawaachie ccm,tuwe na chama kimoja
 
Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.

Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi

3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.

4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi

Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
Mtajaza wenyewe nani alitumwa kuua Chadema kati ya Mbowe na Lisu
Na nani mwana CCM aliyeko Chadema kwa kazi maalumu ya kuua Chadema kati ya Mbowe na Lisu? Kazi kwenu Chadema mnaotuhumiana.Kuchambua hayo

Lakini sababu huwa hamtumii vichwa kufanya maamuzi mnatumia mihemko tu mtajijua wenyewe
 
Lissu kasusa uchaguzi ili kumsapoti Mama Samia. Ikumbukwe Lissu kafanyiwa wema mwingi sana na Mama ikiwemo kumwona hospitalini alipokuwa mgonjwa. Kwa vyovyote hata mimi ningejisikia vibaya kum-challenge mama kwenye urais. Lakini Lissu kama alikuwa anataka kumsapoti mama angetumia tu njia ya mgombea wake kujitoa kwenye uchaguzi na kura kuelekeza kwa mama. Amewakatili watia nia wa chama chake kwa nafasi za udiwani na ubunge.
 
Chama ambacho hakishiriki uchaguzi bado kina nafasi ya kufanya kampeni ??
 
Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.

Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi

3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.

4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi

Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
Cdm hai ni ile itakayokubali chaguzi kuchezewa, wafuasi wake kuachwa na vilema vya maisha, ama hata kuuwawa. Cdm ya mazombie iliondoka na Mbowe.
 
Lissu kasusa uchaguzi ili kumsapoti Mama Samia. Ikumbukwe Lissu kafanyiwa wema mwingi sana na Mama ikiwemo kumwona hospitalini alipokuwa mgonjwa. Kwa vyovyote hata mimi ningejisikia vibaya kum-challenge mama kwenye urais. Lakini Lissu kama alikuwa anataka kumsapoti mama angetumia tu njia ya mgombea wake kujitoa kwenye uchaguzi na kura kuelekeza kwa mama. Amewakatili watia nia wa chama chake kwa nafasi za udiwani na ubunge.
Kazi mnayo yaani mtu mmoja Lisu kawathibiti wote.Jeshi la mtu mmoja limewaweza
 
Lissu kasusa uchaguzi ili kumsapoti Mama Samia. Ikumbukwe Lissu kafanyiwa wema mwingi sana na Mama ikiwemo kumwona hospitalini alipokuwa mgonjwa. Kwa vyovyote hata mimi ningejisikia vibaya kum-challenge mama kwenye urais. Lakini Lissu kama alikuwa anataka kumsapoti mama angetumia tu njia ya mgombea wake kujitoa kwenye uchaguzi na kura kuelekeza kwa mama. Amewakatili watia nia wa chama chake kwa nafasi za udiwani na ubunge.
Hapa ndio unaona umecheza bonge la mind game la hatari, ww utakuwa ni mzee lazima, maana wazee ndio hucheza mind game za kichovu hivi.😂😂
 
Nilivyoona tu Wasira ni Makamu Mwenyekiti wa CCM babsi nikawa na uhakika kuwa Uhai wa CHADEMA upo ukingoni
 
Siasa inahitaji akili sana kuicheza. Akili za Lissu zisingefaa kwa nafasi ya uenyekiti wa chadema
 
Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.

Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi

3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.

4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi

Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
Kwani Chadema kikifa wewe unaumia nn??
 
Utashika Dora kama unamtaji wa mbunge mmoja,hivi wewe una akili wewe? Huku mwingine kila siku anajipa ushindi wa kishindo
 
Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.

Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi

3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.

4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi

Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
kama kumsema mwenyekiti aliyetangulia ni kuuwa chama ccm ingeshakufa zamani sana maana kila mwenyekiti wa ccm alimsema mtangulizi wake. rejea kauli ya kuwashwa washwa
kusema uchaguzi usipokuwa huru na wa haki ni kuchochea? twambie alimchochea nani na huyo aliyechochewa alichukua hatua gani?
YACHE UTUMBILI, UPAMBE NA UCHAWA Mbele ya haki na uhuru wa watu.
ccm imeshindwa kushindana na washindani wake inategemea DOLA BAS
 
je cdm ilikuja kushiriki au kushindana, kipindi chote ambao kiongozi wake alikua mzuri ilofanikiwa nini ?

someti6njia ambayo unaiona kama haitoki kumbe ndo inayokufikisha unapoenda
 
Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.

Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi

3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.

4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi

Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
Kufa kwa CHADEMA kutaendana na wananchi wote wanao kiunga mkono! Kinyume na hapo, basi sahau. Maana siyo rahisi kama unavyo fikiri.
 
Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.

Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi ndani ya chama
2. Mwenyekiti Lissu kutangaza chama chake kutoshiriki uchaguzi

3. Lissu kutoa kauli za uchochezi kwa lengo la kushinikiza akamatwe na ashitakiwe kwa makosa ya uhaini.

4. CHADEMA kukataa kusaini kanuni za uchaguzi

Kwa mwenendo huu je Lissu alitumwa kuja kukiua CHADEMA? Na je amefanya hayo kwa faida ya nani?
Sikiliza mziki wewe.

View: https://youtu.be/7U8NIJWeP6k?si=TVlOSwDKL3EJ4Ybj
 
Back
Top Bottom