PreGE2025 Tundu Lissu ametumwa kuja kuiua CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimepita kijiwe fulani nimekutana na Zitto Kabwe anacheeka sana
 
Mipango ya Mungu si ya wanadamu:
Mie nafikiria tofauti,
suppose (watu wa) CHADEMA + ACT =?? hakuna ushindi wa tsunami hapo.

Vyama kuungana imekuwepo sana! Hivi hivi vyama vimewahi simamisha wagombea kila jimbo kivyake huko nyuma? Wakiondoa ubinafsi bado sioni shida!

Inapendeza kama nchi twende kwa amani.
 
kweli, ila unapoongelea wapinzani wengine hao kina Zitto wanaomsapoti mama
 

Tuliwaambia hawakusikia

Tundu ni mwenda
 
Kinashika dola katika mazingira gani , acheni jiongelesha mambo ya kijinga. Mmeachiwa uwanja bado chadema haiwatoki midomoni mwenu
 
Kikifa sindio vizuri mkuu? au
 
Nyie toka mwanzo huko 2016 mlitaka chadema kife....Sasa hivi kinakufa mnaanza tena kuumia,? Kwa nini ?

Huu ndio wakati wenu CCM kusherehekea kufa Kwa chadema....
 
We jamaa upo ?
 


Hayo ni mawazo yako potofu kwa maono yako madogo. Lissu katumwa na Watanzania wengi kupigania demokrasia na mifumo
Imara ya haki za chaguzi. Utashiriki vipi ukijua asilimia 60% utaenguliwa bila sababu? Huo ni ujinga. Tushukuru tuna chama na viongozi ambao hawafuati mkombo na kweli ni wapigania haki
 
Kwa taarifa yako Mwendazake alijiapiza kuiua CDM, akafanya uchafu wote alioweza kwa kutumia madaraka yake ambayo aliyapata kwa wizi wa kura. Kakimbia Duniani kaiacha CDM ikichanja Mbuga.
Sasa nani wa kuiua CDM? Dalili ni mbaya sana kwa CCM.

Kwa mtu mwenye akili na mwerevu huwezi kuingia tena kwenye uchaguzi wenye kila aina ya UCHAFU.

NO REFORM NO ELECTION ndiyo njia pekee ya sisi watanzania kuheshimiana.
Ni ujinga kwenda kupanga foleni juani kupiga kura isiyo na thamani yoyote ile.

Bravo Lissu & Heche kusimamia maazimio ya Mkutano, Baraza na Kamati Kuu.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…