PreGE2025 Tundu Lissu ametumwa kuja kuiua CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani walishiriki mara ngapi na hiyo Dola hawakushika, waja wajipange unateseka nini
 
Alishindwa Jakaya kuiua CDM, akaja JPM naye akashindwa na akafa yeye, sasa nawe sijui umeibukia wapi maana tulijua nawe umekufa, unarudia wimbo ule ule ambao hauna mashiko.
Mie nafurahi tu CHADEMA kufa
 
"No reforms no election".ma-ccm mmebaki peke yenu lakini bado mnalalamika kama mafisi. Safari hii uaneni ninyi kwa ninyi.
 
Mtu aliyetumwa kuiua Chadema ndio chura kiziwi amempa kesi ambayo haina kichwa wala miguu?

Moto wa no reform no election umefanya kaburu mwanamke halali.
 
No reform
No election

KAZI ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…