Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kumbe si juhudi za jembe kutoka Chato!Tupo Mkuu, bila mabeberu ubungo interchange isingejengwa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe si juhudi za jembe kutoka Chato!Tupo Mkuu, bila mabeberu ubungo interchange isingejengwa mkuu
Maumivu ya kichwa huanza polepole !!Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .