Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .