Lini mji ulilalaSiku ya kufika hapa dar mji itasimama
Sorry nipo nje ya mada, hiyo picha kwa Avatar ni yako?Msanii tu huyo ameamua kula hela za kina mangi, kwanza anakesi mahakamani ya kukiuka dhamana kwa ilo anakosa sifa ya ugombea.
Acha ukabila, ingekuwa vema kama ungehamia Rwanda Burundi au Kenya! Huko ni saizi yako na siyo Tz nchi ambayo haina ukabila(no tribalism, no nepotism)!
Tatizo ni hii tume
Chemical Ally
Chemical once said:
"I will kill them all with chemical weapons! Who is going to say anything? The international community? **** them! the international community, and those who listen to them!
"I will not attack them with chemicals just one day, but I will continue to attack them with chemicals for fifteen days."
Lakini yeye na Saddam wakaangukia pua puuuuuuuuu!
Ndio hivyo lishakuwaga lowasa alikuwa mgonjwa na lisu mgonjwa huko hakuna wazimaUlemavu ni dk1 ndugu yangu. Na hao unaoona wamenyooka wamelemaa ngozi, wengine mitutu, wengine akili, wengine macho. Ukilemaa miguu utabeba gongo, ukilemaa macho utavaa miwani. Hata wewe hapo wawezapatwa na stroke kabla hujamaliza kusoma hapa!
Haya hebu tufundishe Msomi!Hata history ya Iraq imekushinda kugoogle tu, maana uanvyotaka kuandika ni tofauti na unachoandika unazungumzia watu wawili tofauti kwa ishu moja
Hata wewe ni mlemavu mtarajiwa kwani hujafa hujaumbika
Usilolijua nikama usiku wa kiza. Na wewe huyo unayemtaka wewe unampedea Nini. Bora sisi wanawake tunampenda mwanaume. Sasa wewe mwanaume unampendea Nini mwanaume mwenzio!So nyie wanawake lisu mmempendea nini
Wataweka mizengwe mingi kweli, na hata kuitaka mahakama isikilize kesi zote zilizoko mahakamani zinazomhusu Lissu, ili tu wapate nafasi ya kumwondoa kwenye ulingo.
Labda wa soccosIna maana walemavu hawana haki ya kuwa Viongozi?
Hakika na hongera sana kwa uamuzi huu...
Mimi vivyo hivyo ila mimi naanzia kwenye familia yangu ambapo tayari ana kura 10 bure za "family members" wote....wote tuna "vichinjio"...
Na kinachofurahisha mpaka bibi yangu (77yrs) ameapa kuachana na CCM . Nguvu ya wajukuu wake wa kileo imembadilisha totally kabisa maana nilipojaribu kuongea naye akauliza na hii ndiyo kauli take;
".......ni yule aliyepigwa risasi 37 hakufa, akapona? Huyo Mungu alihifadhi uhai wake ili awe kiongozi mkubwa nchi hii, mimi pia nitampigia kura yangu....."
Alimalizia kuseama bibi yangu....
Ndio Bado kwani akili umepima!?Ndio bado sasa
Itabidi siro achukue na polis toka pwani ili kuzuia umma usimpokee lissu kwa shangwe.Siku ya kufika hapa dar mji itasimama
Tuwaache wajaribu bahati yao mkuu Kuna huyu mtu anaitwa tundu lisu anahoja za kimshinda jiwe the great?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ccm so kinajiita cha mapinduzi?Kura ni siri hata mkeo atakushangaa kumlazimisha ampigie tundu na chama chenu kinajiita cha demokrasia
Lissu kwa hoja yuko vizuri sio jpmTundu anahoja za kutetea mashoga
Hakika Mungu mtenda miujiza amejibu maombi yetu, kwa Tundu Lissu, aliyemiminiwa risasi zaidi ya 30 kwenye gari yake, hivi sasa bado yu hai na ameweza kutuma maombi ya kutaka kugombea Urais kwenye chama chake!1468548[/ATTACH]
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .