Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote. Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo?
Chanzo: Ukurasa wa twitter wa Tundu Lissu
Nimemsikiliza vizuri sana Biswalo Mganga akihojiwa na Farhia wa ITV , huyu jamaa kichwani hamna kitu kabisa !Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote.
Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo?
Chanzo: Ukurasa wa twitter wa Tundu Lissu
Hivi hawa na yule muovu ni ndugu? 1. Biswalo Mganga, 2. Doto James, 3. Wilson Mahera, 4. Kalemani--Nimemsikiliza vizuri sana Biswalo Mganga akihojiwa na Farhia wa ITV , huyu jamaa kichwani hamna kitu kabisa !
Hivi anapataje vyeo vikubwa mtu kama Biswalo Mganga , ni mweupe kuliko karatasi yaani !!
Hii nchi inakuwaje na viongozi weupe kichwani kiasi hiki ?Hivi hawa na yule muovu ni ndugu? 1. Biswalo Mganga, 2. Doto James, 3. Wilson Mahera, 4. Kalemani--
Wanafanana na lile jambazi. Hiki ni kizazi cha yule muovu!
Kwa sababu ya kutokuwa na vetting aidha na Bunge au Commision yoyote.Hii nchi inakuwaje na viongozi weupe kichwani kiasi hiki ?
Huko CCM kuna mwenye akili za kibinadamu anaweza kubaki humo?Akili ni nywele.Hii nchi inakuwaje na viongozi weupe kichwani kiasi hiki ?
🤣🤣🤣mkuu sio kwamba ni mweupe kiasi hicho ila wakiwaga kwenye serikali ya chama chakavu huwa wanatolewa akili za asiliNimemsikiliza vizuri sana Biswalo Mganga akihojiwa na Farhia wa ITV , huyu jamaa kichwani hamna kitu kabisa !
Hivi anapataje vyeo vikubwa mtu kama Biswalo Mganga , ni mweupe kuliko karatasi yaani !!
Warioba , Butiku, Shvji, Msuya na wazee baadhiHuko CCM kuna mwenye akili za kibinadamu anaweza kubaki humo?Akili ni nywele.
Noma kweli yaani ![emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu sio kwamba ni mweupe kiasi hicho ila wakiwaga kwenye serikali ya chama chakavu huwa wanatolewa akili za asili
😁🤔🤔🤔Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote.
Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo?
Chanzo: Ukurasa wa twitter wa Tundu Lissu
🤣🤣🤣Noma kweli yaani !
Mbona hii habari ni ya siku nyingi Sana?
Mungu ibariki CHADEMAMh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote.
Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo?
Chanzo: Ukurasa wa twitter wa Tundu Lissu
Nimemsikiliza vizuri sana Biswalo Mganga akihojiwa na Farhia wa ITV , huyu jamaa kichwani hamna kitu kabisa !
Hivi anapataje vyeo vikubwa mtu kama Biswalo Mganga , ni mweupe kuliko karatasi yaani !!
Yawezekana ila wapo ndani ya box hawana neno,wanajaribu kuwa Neutral na CCM wanafahamu kuwa hawana madhara.Wameufyata!Warioba , Butiku, Shvji, Msuya na wazee baadhi