Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Akijibu mnishtue
 
Umpiganie dicteta muuaji. Ama kweli ukiwa CCM unakuwa brainless.

 
Ule UHUNU NA UFEDHULI wa kuamuru Lissu achapwe zile mvua za risasi tena kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA, lazima usemwe ili usije kujirudia tena. Na muda wa kusema maovu yote ni sasa, wewe unataka yasemwe lini?
 
Mnafiki kweli kweli bwana huyu:

1. Uchunguzi kuwabaini wauwaji uko wapi?
2. Matibabu kamnyima
3. Ubunge wamefukuza
4. Vyombo vya habari anamnyima

Hayo mapenzi yameanza lini?

Mshamba sana huyu bwana.
1-Uchunguzi unaendelea na hauwezi kukamilika hadi ahojiwe key person lakini kafichwa na Chadema ambaye ni Dereva wa lissu
2-Matibabu yana taratibu zake kisheria na kwa kuwa Chadema hawakutaka kufuata taratibu hizo isingekuwa rahisi serikali kugharamia matibabu ya mtu asiyetaka kufuata utaratibu.
3-Ilikuwa ni lazima afukuzwe Ubunge kwa mujibu wa sheria maana alikuwa ni mtoro sugu wa Bunge japo alikuwa anatibiwa huko alikokuwa lakini mamlaka zilikuwa hazimtambui kama zilivyokuwa kwenye gharama za matibabu.
4-Wakati wanazindua kampeni pale Mbagala Zakhiem walikuwepo TBC lakini baada ya kuona TBC wanatumia Drone kuchukua picha za mahali pale Chadema wakaona wanaumbuka kwa kukosa watu ndo Mwenyekiti wa Chadema akatumia staili ya kuwapumbaza wafuasi wake eti TBC imekata matangazo akawatimua kihuni kutoka hapo viwanjani, ilishangaza kwa kweli maana tulikuwa tunafuatilia live sasa aliposema TBC wamekata matangazo tukabaki na mshangao.
 
Ni nondo gani unadhani anatakiwa kuzishusha?
 
Jiwe ana maswali makubwa ya kujibu. sulubu inamsubiri!

sky nisaidie ukitaka ku-quote sentensi mbali mbali then zote ukazijibu kwa pamoja unafanyaje?
Na mie pia nahitaji kujua
 
Magufuli oyeeeeeee, CCM safiiiiii safiiiiiii wapinzani waache waongeeeee hatukati tamaaa.
 
Sasa si ndo wakati mzuri huu wa kutoa siri hizo, ili huyo lissu na wenzake waumbuke, mmelikoroga hilo lazima mlinywe.
 
Tena huyo meko kwa kuhemkwa na kupenda sifa, mbona angeweka press 1 kubwa San, kutoa hitimisho juu ya hilo,
Hakuna kudanganyika tena hapa.
 
Nimetolea mifano ya mikutano ya uzinduzi.
Ama ulitaka nitoe mfano wa mikutano ya Ikungi kijijini. Nayo iko pia. Karata ya uchaguzi mkuu 2020 mliyo isubiria kwa hamu nyie wapinzani wa JPM imebuma. Mtafute chengine.

Unajua maana ya kubuma? Ama umesikia hilo neno kubuma kisha ukalivaa kichwa kichwa?
 
Hili swali JPM akilijibu kwa ufasaha mimi nachukua kadi ya CCM kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe!!
Majibu anayo dreva mliye mficha asitoe ushahidi wa kuisaidia polisi kufanya uchunguzi.






MAGUFULI4LIFE.
 
Huyu jamaa kama siyo NEC 28 angeingia Ikulu mapema
 
Si mlisema mnamsubiri Lissu ili uchunguzi uendelee, jamaa kafika mbona kimya?
Kama mlalamikaji L kauchuna yasifatiliwe polisi wana haja gani kuifatilia tamthilia ya yake. We huoni kama TL kauchuna movie yake isibumburuke.




MAGUFULI4LIFE.
 
Aisee natamani itolewe nafasi ya mdahalo kati ya Lissu na Magufuli ili kila mmoja atupe hoja na ufafanuzi na ajibu maswali ya papohapo toka upande mwingine, bila kuhamaki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…