ATAPATA TABU SANAAAAAA......Hahaa lissu mwepesi sana kuondolewa kwenye reli,atapata tabu sana mwaka huu,spana kidogo anazungumzia risasi
hawana Jipya sasa wataongelea nini wakati walikua ubelgiji huko BBCDuhh kwaiyo Lissu anasera? Yaani hizo zakupigwa risasi nazo ni sera? Nyumbu!
Ndo tukutane Sasa barabarani, kwani unafikiri Gadaffi, Al Bashiru, Blaise Compaoure na Idi Amin hawakuwa na watu wa kuingia barabarani kuwapambania? Mwisho wa siku Upande wa Haki hushinda, hakuna Jeshi duniani wala bunduki iliyowahi kushinda Nguvu ya Umma Mzee tulia😂😂, Watu waingie barabarani, jiwe akimbie wapi😲? Hata sisi tunauwezo wa kuingia road kumpambania,msitutishe na slogan zenu mitamdaoni ambazo hamuwezi kizitekeleza.Tutadeal na kila kima, atakaejaribu kuleta upumbavu.🚶🚶🚶🚶
Ni hivi, hawezi kujieleza, amezoea kuburuza lakini hana uwezo wowote wa kushawishi. Siasa ni ushawishi na sio mabavu.
Hili swali JPM akilijibu kwa ufasaha mimi nachukua kadi ya CCM kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe!!
Bwana yule yani anaropoka tu na kujisifu, utafikiria pesa anazotapanya za baba yake“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16,
Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.." Mhe. @TunduALissu...
Hivi ndivyo lissu ameondoka uwanja wa furahisha Mwanza[emoji1][emoji1][emoji1]Maamaaa Lissu kapiga ngumi sehemu mbaya.duh
Na kubaliana na wewe. Hata ukiona mikutano yake kadoda. Uliona ule wa uzinduzi Dodoma ulivyo doda. Watu walijaa nje ndani.
Cdm wao mambo yao nswanu kwelikweli. Uzinduzi kampeni zao Mbagala, zilivunja rekodi ya chama cha Tadea cha mhaini Kambona.
DuuuuuuStaki kuamini JPM akipiga zake kampeni LISSU
Anavaaga earphone anamsikiliza kimya kimya...
Bongo PhD nyingi ni takataka tu, hazina mchango wowote kwa maendeleo ya taifa zaidi ya wapuuzi hao kutaka kuzitumia kujipatia malipo makubwa serikaliniAwamu hii PHD zimeonekana takataka mbele ya digrii na la Saba.