Kumwambia mtu neno aje nimpe kazi, sigombee nafasi ambayo hatakaa aipate sio maneno mazuri yanahitaji sana busana, mhusika hahitaji kazi kutoka kwako, kumwambia hatakaa aipate nafasi anayoigombea hata kama hukumtaja bali umelisme kijijini kwake ni neno ambalo linaashiria nia ovu ya kutoachia hata kama utashindwa.
Sasa majibu kutoka upande wa pili yanaumiza maana ni maswali ya matukio mabaya mwisho mtu atasema sio siasa za ustaarabu wakati ameanzisha yeye. Niishie hapo kusema hekima kwenye kampeni ni swala la msingi sana.