Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Kumwambia mtu neno aje nimpe kazi, sigombee nafasi ambayo hatakaa aipate sio maneno mazuri yanahitaji sana busana, mhusika hahitaji kazi kutoka kwako, kumwambia hatakaa aipate nafasi anayoigombea hata kama hukumtaja bali umelisme kijijini kwake ni neno ambalo linaashiria nia ovu ya kutoachia hata kama utashindwa.

Sasa majibu kutoka upande wa pili yanaumiza maana ni maswali ya matukio mabaya mwisho mtu atasema sio siasa za ustaarabu wakati ameanzisha yeye. Niishie hapo kusema hekima kwenye kampeni ni swala la msingi sana.
 
Duhh kwaiyo Lissu anasera? Yaani hizo zakupigwa risasi nazo ni sera? Nyumbu!
hawana Jipya sasa wataongelea nini wakati walikua ubelgiji huko BBC

Wanazunguka kuporojeka tu,saivi wamerudi nchini wanashangaa shangaa tu

point za kuongea hamna wapo tu kusimamia na risasi as if JPM alikuepo wakat akpgwa hzo Risasi.
 
😂😂, Watu waingie barabarani, jiwe akimbie wapi😲? Hata sisi tunauwezo wa kuingia road kumpambania,msitutishe na slogan zenu mitamdaoni ambazo hamuwezi kizitekeleza.Tutadeal na kila kima, atakaejaribu kuleta upumbavu.🚶🚶🚶🚶
Ndo tukutane Sasa barabarani, kwani unafikiri Gadaffi, Al Bashiru, Blaise Compaoure na Idi Amin hawakuwa na watu wa kuingia barabarani kuwapambania? Mwisho wa siku Upande wa Haki hushinda, hakuna Jeshi duniani wala bunduki iliyowahi kushinda Nguvu ya Umma Mzee tulia
 
Sasa mwananchi wakawaida kunamuhusu vipi Lissu kupigwa risasi na kinyimwa pesa ya matibabu?
 
TUNDU LISSU AMJIBU #MAGUFULI

“Wanaopewa vikazi vidogo vidogo ni wale wanaookotwa majalalani"

✓Kwakuwa ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, aseme ni akina nani walionipiga risasi 16

✓Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.

✓Kwakuwa ananipenda aseme ni nani aliyemkusudia auawe katika hotuba yake akipokea ripoti ya madini na kusema kuwa anayemsumbua sumbua katika agenda yake ya madini.

Baada ya tarehe 28/10/2020 hatakuwa na nafasi ya kumpa mtu kazi kwakuwa atakuwa anafungasha virago kurudi kijijini kwao Chato kwakuwa ndiye Rais wa kwanza kuongoza miaka mitano tu”.

#Share

#niyeye2020

#Mwanza
IMG-20200831-WA0030.jpeg
 
Ni hivi, hawezi kujieleza, amezoea kuburuza lakini hana uwezo wowote wa kushawishi. Siasa ni ushawishi na sio mabavu.

Na kubaliana na wewe. Hata ukiona mikutano yake kadoda. Uliona ule wa uzinduzi Dodoma ulivyo doda. Watu walijaa nje ndani.

Cdm wao mambo yao nswanu kwelikweli. Uzinduzi kampeni zao Mbagala, zilivunja rekodi ya chama cha Tadea cha mhaini Kambona.
 
Ughani wa Chaurembo wa ACT:

" Nii mwaka, Ni mwaka wa mashujaaa,

Wala msiwe na shaka.

Mishe-mishe,

Mishe-mishe kila kona,

Nchi sasa, Nchi inatikisika,

Magufuli, Magufuli amekwamaa,

Hawezi, hawezi kunusurika. "

..kuna mtu atafukuzwa kazi leo TBC, kwa kumuacha Chaurembo atambe kwa dakika 2
 
“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16,

Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.." Mhe. @TunduALissu...
Bwana yule yani anaropoka tu na kujisifu, utafikiria pesa anazotapanya za baba yake
 
Na kubaliana na wewe. Hata ukiona mikutano yake kadoda. Uliona ule wa uzinduzi Dodoma ulivyo doda. Watu walijaa nje ndani.

Cdm wao mambo yao nswanu kwelikweli. Uzinduzi kampeni zao Mbagala, zilivunja rekodi ya chama cha Tadea cha mhaini Kambona.

Kwani watu Dodoma walijaa kwa ajili yake au ni kwa ajili ya burudani za bure? Hao cdm unawatolea mfano wa Mbagala tu, kwani mkutano wa kampeni wamefanya Mbagala tu mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom