Pre GE2025 Tundu Lissu amtahadharisha Rais Samia, amtaka aache mambo ya ajabu baada ya Polisi kuzuia vijana wa BAVICHA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Rais Samia usilete mambo ya ajabu ajabu ya Magufuli. Siku ya Vijana Duniani inasherehekewa duniani kote. Kwa nini mapolisi wako wanazuia vijana wa CHADEMA barabarani & kuwakamata? Matumizi ya mapolisi yalimshinda Magufuli, & wewe yatakushinda. Fungua barabara vijana waende Mbeya!

Kwa vijana wote mlioko & mnaoelekea Mbeya: Na Mimi niko njiani kuja Mbeya kuungana nanyi. Kama ni kuzuiliwa au kukamatwa, & mimi wanizuie au kunikamata. Huu sio wakati kukaa kimya, kuogopa au kuuma uma maneno. Ni wakati wa kusimama & kuhesabiwa. Tupaze sauti kwa nguvu zetu zote!

IMG_20240811_140709.jpg
IMG_20240811_140723.jpg

Pia soma=> BAVICHA yaanza kuogopwa na watawala, Polisi watumika kuwakamata ili kuzuia wasihudhurie siku ya vijana duniani itakayofanyika Mbeya
 
Barabara zimejengwa kwa fedha nyingi sana, alafu anatokea mpuuzi mmoja badala ya kuwashauri vijana watumie barabara hizo kujijenga kiuchumi, kusafirisha mizigo mbalimbali wapate vipato, au kujikita katika usafirishaji wa abiria au vijana wajikite katika shughuli za kujiinua kiuchumi maana ajira ni ngumu, anawashauri waandamane juu ya barabara na kuwazidishia umaskini, kwani maandamano sio shughuli ya kiuchumi, wanapoteza muda na kuzidi kuwa maskini, mpuuzi yeye anawatumia hao vijana kama mtaji wake, yeye anaingiza kipato na uchumi wake unakuwa, pumbaf
 
Kwamba hao vijana huwa hawachoki na tawala za kihuni? Kizazi kinabadilika boss, watu hawawezi kuendelea kuwa mandondocha muda wote.
 
Barabara zimejengwa kwa fedha nyingi sana, alafu anatokea mpuuzi mmoja badala ya kuwashauri vijana watumie barabara hizo kujijenga kiuchumi, kusafirisha mizigo mbalimbali wapate vipato, au kujikita katika usafirishaji wa abiria au vijana wajikite katika shughuli za kujiinua kiuchumi maana ajira ni ngumu, anawashauri waandamane juu ya barabara na kuwazidishia umaskini, kwani maandamano sio shughuli ya kiuchumi, wanapoteza muda na kuzidi kuwa maskini, mpuuzi yeye anawatumia hao vijana kama mtaji wake, yeye anaingiza kipato na uchumi wake unakuwa, pumbaf
SSH,baraza la mawaziri,CCM wote mnasafirisha nini kwenye hizo barabara muda huu?Wameomba wapewe ugali na mtu?
 
Barabara zimejengwa kwa fedha nyingi sana, alafu anatokea mpuuzi mmoja badala ya kuwashauri vijana watumie barabara hizo kujijenga kiuchumi, kusafirisha mizigo mbalimbali wapate vipato, au kujikita katika usafirishaji wa abiria au vijana wajikite katika shughuli za kujiinua kiuchumi maana ajira ni ngumu, anawashauri waandamane juu ya barabara na kuwazidishia umaskini, kwani maandamano sio shughuli ya kiuchumi, wanapoteza muda na kuzidi kuwa maskini, mpuuzi yeye anawatumia hao vijana kama mtaji wake, yeye anaingiza kipato na uchumi wake unakuwa, pumbaf
Wewe bila shaka yoyote ni masikini wa akili na hela
 
Hivi umeelewa kilichoongelewa nani kazungumzia maandamano hapa? Hakika CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha kama wewe
 
Back
Top Bottom