Pre GE2025 Tundu Lissu amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu. Ateua Manaibu Katibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati Kuu
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
It's All Well! Mnyika amejitahidi Sana kuwa Neutral katika Uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti huku akizingatia maslahi mapana ya Chama.

Kwa hiyo nafasi husika inamtosha na hakuna mashaka kuwa atafanya vyema zaidi.
 
Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA ndg Tundu Antipas Lisu amependekeza jina la John John Mnyika kushika nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Baraza Kuu la CHADEMA wamepitisha pendekezo hilo huku wajumbe watatu wakishikilia msimamo wa kutomkubali.

Viva CHADEMA
 
It's All Well! Mnyika amejitahidi Sana kuwa Neutral katika Uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti huku akizingatia maslahi mapana ya Chama.

Kwa hiyo nafasi husika inamtosha na hakuna mashaka kuwa atafanya vyema zaidi.
Kama alikuwa neutral aendelee tu na nafasi hiyo
 
Shida kwenye siasa inatakiwa uwe na misimamo.

Juzi kati alitliwa shaka mahusiano yake na mama wa Kizimkazi

Nachojua hao akina mnyika bado walikuwa na nafasi ya kuharibu uchaguzi endapo wangependa kufanya hivyo.

Swala la weledi limeoneshwa Sana hata Mbowe mwenyewe anastahili pongezi kubwa sana .
 
Back
Top Bottom