Pre GE2025 Tundu Lissu amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu. Ateua Manaibu Katibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati Kuu
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA ndg Tundu Antipas Lisu amependekeza jina la John John Mnyika kushika nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Baraza Kuu la CHADEMA wamepitisha pendekezo hilo huku wajumbe watatu wakishikilia msimamo wa kutomkubali.

Viva CHADEMA
Asante Mwenyekiti kwa kumwona JJ Mnyika my future President. Mnyika kwa kweli yuko vizuri!
 
Pole sana kwa walutheri wakiwemo askofu Shoo na Bagonza na waprotestant akina Askofu Mwamakula na walokole akina Askofu Mwanamapinduzi chama chenu cha Chadema wakatoliki wamechukua hatamu za chama kiko chini ya wakatoliki Lisu na Mnyika

Pole ziwafikie pia chama cha Christian Democrstic Union cha Ujerumani baba mlezi wa hiari wa Chadema kwa miaka nenda rudi
Huu udini hautakiwi CHADEMA
 
Akili mgando za kiccm hizo
 
Yule Dada ambaye alikuwa Mbunge wa viti maalum anaitwa Suzan .

Huyu mama anastahili pia kupewa nafasi .

Pia Yule mama wa Bukoba Conchesta Rwamlaza na yeye Ana uwezo mkubwa sana .

Pia Chief Kalumuna Aliyekuwa Meya wa Bukoba mjini huyu jamaa anastahili kupewa nafasi .
 
Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama ambalo limekutana leo Jumatano, Januari 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ameanza kupanga safu yake ya uongozi kwa Kuteua Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu.

Mh. Tundu Lissu amefanya uteuzi kama ifuatavyo

Katibu Mkuu
1. John John Mnyika

Manaibu Katibu Mkuu
1. Aman Golugwa - Naibu Katibu Mkuu Tanganyika (Tanzania Bara)
2. Wakili Ally Ibrahim Juma - Naibu Katibu Mkuu Zanzibar

Uteuzi wa Wajumbe wa Kamati Kuu
1. Godbless Lema
2. Dkt. Rugemeleza Nshala - Mwanasheria Mkuu wa Chama
3. Rose Mayemba
4. Salma Musa Kasanzu
5. Hafidh Ally Salehe

View: https://www.youtube.com/live/n57Tc7XtINo

sawasawa kabisa.amefanya vyema kumbakisha john mnyika, hata mimi binafsi nilitarajia hilo
 
Pole sana kwa walutheri wakiwemo askofu Shoo na Bagonza na waprotestant akina Askofu Mwamakula na walokole akina Askofu Mwanamapinduzi chama chenu cha Chadema wakatoliki wamechukua hatamu za chama kiko chini ya wakatoliki Lisu na Mnyika

Pole ziwafikie pia chama cha Christian Democrstic Union cha Ujerumani baba mlezi wa hiari wa Chadema kwa miaka nenda rudi
Hizo Propaganda zenu zimeshindwa kabla hamjaanza.
 
Back
Top Bottom