othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
NA ndio kinamtesaSalim Mwalimu ana kimeo cha covid 19.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NA ndio kinamtesaSalim Mwalimu ana kimeo cha covid 19.
Kama alivyokuwa kibatalaNshala ana shida gani? Huyo atahusika na mambo ya kisheria tu
Timu zipo uwanjani mkuu, chadema hawana timuInakoelekea chadema Mwenyezi Mungu ndio anaejua. Ubaguzi umeanza kuonekana kwa team mbowe kuwekwa pembeni.
Taja jina moja team Mbowe ambae Lissu amemchagua tena ktk uongozi wake