Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Mwanaume kukaa duniani hudindishi ni bora ufe tu.. Unakuwa huoni tofauti ya wanawake na wanaume. Pesa za nini kama Jogoo haliwiki!??
 
Hata kama hajataja jina. Maelezo aliyoyatoa yanaelekeza kwa huyo jamaa.

Lissu ni mropokaji mno.
We una tatizo kumbe.yaani una lazimisha ijulikane Ni huyo unayemtaja wewe ndiyo kafa. Fatilia mlinzi aliyekufa na kuzikwa kilosa morogoro ni yupi. Una Akili halisi ya kiafrika ya unafiki na usingiziaji.ndiye nyinyi mkiwa viongozi kesi za kumbambikiza lazima zizidi
 
Lisu jana ameonesha upumbavu wa hali ya juu kwenye straight talk...ametumia hasira na hisia za chuki kuelezea uhalisia. Nimefurahi Chaka Sali alivyomhoji na kumtaka amuelezee Mwendazake akiwa kama Mtanzania na kutoka katika kina cha moyo wake .....nilistuka sana vumbi alilolirusha.
 
Mwanaume kukaa duniani hudindishi ni bora ufe tu.. Unakuwa huoni tofauti ya wanawake na wanaume. Pesa za nini kama Jogoo haliwiki!??
Wapo wengi sana dunia wa namna hiyo. Wengine kwa kuzaliwa, ajali na hata wa kulazimishwa kama hii mnayoshabikia. Hii haimfanyi marehemu kuwa shujaa . Yuko wapi ?! Mbona hasimami kufurahia hatua zake ?!

U dictator na u communist popote duniani haiwezi kuitoa nchi mrisi . Na mara nyingi ma dictator humalizia hovyo. Ona mama ameanza kubomoa aliofikiri ni sahihi .

Odhis *
 
Eti nisi quote comment yako, ina madini ya aina gani? Napata kitu gani niki quote na ninakosa kitu gani nisipo i quote? BTW, unajipa mamlaka ya ku quote comment yangu bila masharti, halafu unaniwekea masharti mimi ku quote ya kwako? Uko sawa kweli upstair? Tumewaambia hivi JPM alikuwa na walinzi wengi, muulizeni TL anazungumzia mlinzi gani aliyekufa. Swali gani bado unalo?
 
Mwanaume kukaa duniani hudindishi ni bora ufe tu.. Unakuwa huoni tofauti ya wanawake na wanaume. Pesa za nini kama Jogoo haliwiki!??
Alafu Ukimwi ukiwauwa unalalamikia mabeberu. Kitu anachoweza kufanya mtu mweusi kwa usahihi ni ngono tu. na Ndiyo kundi linalotoa wajinga wengi duniani kwa upuuzi wa kuwaza ngono zaidi
 
Rais alikuwa na walinzi wengi na wengi ni wasiojulikana. Acha kutupotosha kuhusu TL
 
Ulitaka amsifie mtu aliyetaka kumuuwa kwa risasi na kumpa ulemavu? Marehemu Kama angemtendea mema Lisu na Lisu angemsema vibaya hapo tungeona Lisu anatatizo tena kubwa tu. Siyo wewe mtu akutetendee mema na mwingine ubaya alafu ukataka aliyetendewa ubaya asifiye Kama wewe uliyetendewa mema hakuna Upumbavu wa namna hiyo.
 
Mnajitoa ufahamu? Kuwa hamjui kuwa Magufuli alifariki kwa covid-19? Endeleeni kujitoa ufahamu tu.

Kaulizwa Lisu akiwa kama mwanasheria anaweza prove kashindwa itakuwa wewe hapa! Nyie ndiyo mnajitoa ufahamu kama huna ushahidi kaa kimya,siyo kutuletea blah blah blah za “my sources”
 
Kaulizwa una ushahidi? Anaanza kuleta Stori sijui katoka huku kapelekwa huku mara kule. Una ushahidi oh circumstances hizi blah blah...as a lawyer!

Ilibidi Shaka Ssali amsikilize tu,alishaona hapa hakuna kitu. Kwamba una ushahidi akaanza blah blah za “my sources”, nani atamwamini kumpa siri mtu anaonekana mropokaji. Ukisoma comments kule youtube kwa Straight Talk Africa utaona watu wanavyompopoa kwenye comments. Nina uhakika na yeye anapitia hizo comments na anajiona alivyodharaulika baada ya Interview.
 
Rais anakuwa na walinzi kadhaa ni kweli kuna jamaa miongoni mwao kafariki
 
Kaulizwa Lisu akiwa kama mwanasheria anaweza prove kashindwa itakuwa wewe hapa! Nyie ndiyo mnajitoa ufahamu kama huna ushahidi kaa kimya,siyo kutuletea blah blah blah za “my sources”
Kwani Corona ni aibu ?!. Corona si kabambaru

Odhis *
 
Kaulizwa Lisu akiwa kama mwanasheria anaweza prove kashindwa itakuwa wewe hapa! Nyie ndiyo mnajitoa ufahamu kama huna ushahidi kaa kimya,siyo kutuletea blah blah blah za “my sources”
Kaondoka na covid -19. Mfuate kama unaona uchungu ukweli kusemwa! Hili ni muhimu sana kusemwa ili watu wajifunze kutokana na makosa. Kuna mambo mengine hayaitaji kiburi wala ujeuri. Tunaposema kafa kwa covid siyo kama tunafurahia bali tunaonyesha ujweuri ulivyo na gharama mbaya.
 
Ndo graduates wa UD akili zao zilivyo,kwani wewe hujagundua tu🤣🤣🤣
 
Rais anakuwa na walinzi kadhaa ni kweli kuna jamaa miongoni mwao kafariki

Yale hale ya Lisu,Jamaa yupi? Hii ndilo tunalikataa hapa,unaongea general statement,be specific kama una uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…